Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,657
- 3,773
Mwaka wa maigizo huu,chochote kinawezekana!Rc wa mwanza apande daladala anaenda wapi?
Kwenye daladala sio Padre ila hizo nilizotuma unawaonaje? Huwa hawapandi Daladala?Kwahiyo huyo kwenye picha ni Padre? Padre anapanda daladala anaenda parokia ya wapi?
Zinatisha kwakeli mpk nimejisikia kutapika..Kama Tester wa sembe au 🤣🤣
Hakika aiseDunia yote iko mkononi mwake 🤣🤣
Na huyo kidevuni hakosi ndevu zilizotiwa rangi/inaUshirikina hapo umelala 🤣🤣🤣
Ila wewe utakua una chuki tu,Yaani kuona mkono tu umejua huu mkono wa muislam! Kwanza hakuna dini iliyoruhusu uchawi,ukiona muislam au mkristo mchawi ujuwe ni yeye usihusishe dini yake.Ndugu zetu waislamu washirikina sana
Hapo imekosekana ile ya blue ambayo inasemakana ni jini ng'ombe.
Acha kutetea mambo ya hovyo.Ila wewe utakua una chuki tu,Yaani kuona mkono tu umejua huu mkono wa muislam! Kwanza hakuna dini iliyoruhusu uchawi,ukiona muislam au mkristo mchawi ujuwe ni yeye usihusishe dini yake.
Ungeomba akupe chimbo ukajipatie ya kwako.Hapo imekosekana ile ya blue ambayo inasemakana ni jini ng'ombe.
Kuna jamaa yangu anayo kidole cha kati basi kuna siju aliwasha udi akainama akajifukiza asee kama dakika 3 hivi alitoa mlio wa ajabu tangu nazaliwa sijawahi sikia sauti ya binadamu ya ajabu kiasi kile😆