Ulinzi ni mwingi sana pande hizi

Ulinzi ni mwingi sana pande hizi

Wale wanaojaa pale kawe nii kina nani haswa!? Kuna makanisa ya maombrzi na ya Kiroho kama ya kina gwajima! Ulishawahi kusikia misikiti ya hivyo? Kuna manabii na mitume wenye makanisa ulishawahi sikia waislamu wa hivyo?
Ushirikina kwako wewe ni nini haswa?
Muislam mwenzako Diamond anavaa mpaka Misalaba.Halafu anawaandalia Ftari munakwenda kula,Tena iftari imealikwa na Mashoga wakutosha,Ila hizi njaa za Viazi vitamu vya Nazi zitawapeleka motoni
 
Me nashangaa mtu anakuwa mshirikina bila kufanya kazi

Dawa ya mafanikio ni kufanya kazi Sana na kuwa mwaminifu na mubunifu

Other wise ni time wasting
Umesema kweli tupu mkuu.
 
Hizo kucha utafikiri katia sumu.

Code: Kwa wale wasiofahamu zile roho mbaya zinazowawekea wenzao sumu, huhifadhi sumu kwenye kucha…..Vinywaji.
 
Hivyo ni vikosi vya ulinzi na usalama.
Jeshi la anga,
Jeshi la majini,
Jeshi la nchi kavu
Kuna kitengo cha propaganda unekisahau kavailia kiunoni
 
Dogo kumbe ni wewe uliekuwa kwenye hiyo seat? Nilivyopanda niliona unatoa simu mfukoni unajichatisha sikujua lengo lako kumbe unataka kunipiga picha.

Saa hizi umekuja kunitupia humu jamvini unadhani mimi simo? Umenikwaza sana
Hauniwezi kwa lolote mkuu, kama unabisha leta mkono tushindane 🤣🤣🤣
 
Huyo ni RC wa Mwanza?

Wakati ule sakata la Dr Nawanda lina trend,kuna mdau humu alidai Bw Mtanda vidole vimejaa mapete makubwa kama mpunga majini.
 
Back
Top Bottom