Ulinzi ni mwingi sana pande hizi

Ulinzi ni mwingi sana pande hizi

Dogo kumbe ni wewe uliekuwa kwenye hiyo seat? Nilivyopanda niliona unatoa simu mfukoni unajichatisha sikujua lengo lako kumbe unataka kunipiga picha.

Saa hizi umekuja kunitupia humu jamvini unadhani mimi simo? Umenikwaza sana
😅😅
 
Ndio maana tumejazana kwa Gwajima tunatolewa mapepo kila J2. Mwambosa atauzia mkojo wa popo anatwambia inatoa uchawi
Kwa Mwamposa na Kuhani Musa waliojaa ni wamama wavaa hijabu wanatolewa mapepo daily.
Kwa Gwajima kuna neno la Mungu kwaajili ya kwenda mbinguni that's why hakuna majuba
 
Jicho jekundu ni Jini Subiani
Jicho la blue ni Jini Ruhani
Jeupe ni Jini Maimuna
Hili la brown ni Jini Makata

Wenyewe Wenye Dini Yao wanawaita WALIMU. Kama huna hizo Pete Dini haijakamilika.
 
Acha kutetea mambo ya hovyo.
Waganga waliojaa Dar es salaam zaidi ya 80% ni waislamu, wengi wao wakiwa ni vijana waliopata elimu ya dini almaarufu Maustadhi
Ukiona hivyo ujuwe ameasi uislam na haruhusiwi Ata kuongoza ibada, uislam unakataza shirki tafuta Ata mawaidha yanayozungumzia uchawi ujifunze,hao maustadhi unaowaona wewe hawana uislam wowote,ni sawa tu na wale wachungaji wanaojiita mitume na manabii ambao wanatumia maandiko ya bibilia Kwa maslahi yao.
 
Usikatae mwaya ndugu zetu mnapenda sana ushirikina japo mnadai mmekatazwa
 
Usikatae mwaya ndugu zetu mnapenda sana ushirikina japo mnadai mmekatazwa
Ushirikina hiyo ni imani nyngne mi nipo kyela uku ndani ndani ukristoni kabisa ila habari za kutupiana majini na kulogana zipo tu.
 
Jicho jekundu ni Jini Subiani
Jicho la blue ni Jini Ruhani
Jeupe ni Jini Maimuna
Hili la brown ni Jini Makata

Wenyewe Wenye Dini Yao wanawaita WALIMU. Kama huna hizo Pete Dini haijakamilika.
Wewe ni Sheikh mkuu?
 
Back
Top Bottom