Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Status
Not open for further replies.
Haya yameendelea kwa miaka kadhaa sasa katika ulimwengu wa kiarabu hali si shwali. kila nchi ukiangalia kwa makini hasa yale yaliyokuwa mataifa yenye nguvu katika ulimwengu huo yamekuwa na wakati mgumu. angalia Libya, Iraq, Misri na Syria. mataifa ambayo yalikuwa na nguvu kiasi flan katika ulimwengu wa kiarabu. Swali ni nini chanzo cha kuanguka kwao au kuwa katika machafuko haya? jibu jepesi litakuwa mataifa ya magharibi au marekani. lakini kwa wasomi tunapaswa kuingia ndani zaidi. hali yake ilikuaje toka kitambo na nini ni tatizo kubwa.
mataifa ya kiarabu hayakuundwa kuishi kidemokrasia.
na ndo maana unayaona ni yenye machafuko makali sana. Ni mataifa ambayo watu hutawala kwa upanga na kama huamini kuna hizi data hapa kuhusiana na hali iliyoko sasa hasa ukienda iraq baada ya kuangushwa saddam hussein, ukienda libya baada ya kuangushwa muammar ghadafi na pengine aliyekuwa akionekana kama mpiganaji wa waislamu/waarab osama bin laden. hatimaye tena nchi nying za kiarab hazijatulia ka miaka mingi hata baada ya kondolewa watawala wa mikono ya chuma.

ARAB WORLD IN CHAOS
Syria is in a full-fledged civil war having claimed the lives of over 105,000 people. And most worrisome for America and Israel is al Qaeda is resurgent in Syria.

Egypt is locked into a dangerous stalemate between Islamists and the military. No peaceable solution is in sight. Massive unemployment and debt are strangling the country, and there is no quick-fix solution on the horizon.

Iraq Iraqi security forces launched a major offensive against insurgents in the country’s northwestern and western regions on Sunday. Iraq is deteriorating, and little can be done to stop the violence between Sunni and Shia Muslims . Shia Muslims are the majority of the population.

Yemen is a very serious concern for the United States… Yemeni security forces remained on high alert amid fears of an imminent attack by al Qaeda in the capital, Sana’a, after the US and Britain withdrew all embassy staff and again urged their citizens to leave the country.

Libya is not so much a country anymore but a name on maps that is home to dozens of militias, tribes, and desert nomads, all seeking to assert power. Libya has not a unified voice, and is on the brink of its own civil war.

Jordan is in a much-weakened state; the Monarchy is constantly scrambling to maintain political power. The Muslim Brotherhood has a strong presence in the country. Jordan stands at the crossroads of the regions conflicts: Shia versus Sunni and Arab versus Israeli. It has a peace treaty with Israel.

Bahrain is an island nation close to Iran (geographically), but led by a Sunni monarchy that rules the majority Shia (Iran-friendly) citizenry. There is continued protests and unrest. If it were not for Saudi backing, Bahrain would experience a coup d’état encouraged by Iran.

The Sinai Peninsula (a desert that separates Egypt and Israel) has become a mini-Afghanistan. The Sinai Peninsula has been a haven for militants and terrorists for decades. A barren desert, the Sinai is very difficult to control.

Saudi Arabia is relatively stable but there are worries. Saudi Arabia is in the midst of a historic generational change of leadership; the Saudi leadership are in their 80’s. Who will lead this powerful nation in the next 3 to 5 years and beyond will be watched intensely.
The Circassian Genocide was the extermination of the indigenous Circassian people by Imperial Russia. Estimated killed: 1,500,000.
 
Na waarabu au waafrika lini waliisafisha dunia? huku ni kuwaza kivivu sana. tena kuwaza kivivu mpaka hatua ya mwisho. basi waafrika au waarabu wote hawana akili. kwanini wao wachonganishwe tu kila siku?
Joseph Vissarionovich Stalin ( Responsible for 23,000,000-60,000,000 deaths)In the time of rapid social and economic changes emerging as one of the biggest economy after World War II, Russians were sent to labor penal camps, died in famine and executed. The Great Purge, a series of political repression and persecution in the Soviet Union orchestrated by Joseph Stalin, have claimed the lives of hundreds of thousands who were accused of various political crimes. They were either executed by shooting or sent to labor camps wherein people died from starvation, disease and overwork. Others were also subjected to deadly experiments.
 
Kama hii theory yako ni kweli basi wazungu ni watu hatari sana na wanastahili kutunukiwa heshima ya juu sana. Manake najua waarabu matajiri sana natumai pia huko kwao wameenda shule sana kwa maana ya kuwa wana vyuo vikuu vingi bora kabisa.. Kukubali kushikwa masikio na kuchonganishwa uchinjane na nduguyo (saudia vs Yemen na Iran.. Iran vs Iraq ..libya vs Qatar.. Syria, Lebanon, iran vs saudia, Qatar, Bahrain jordan etc etc) basi hawa wazungu watakuwa na akili ndefu sana… wa kuwaheshimu sana (pun intended)
Wazungu wana tabia ya kuwasoma watu wanaofanya nao biashara pamoja na kujihusisha nao kwenye mambo ya kisiasa. Usishangae kusikia yupo Mmarekani mwenye utaalam na mambo ya Tanzania. Muingereza mwenye utaalam na mambo ya India. Unasikia habari ya Mmarekani ambaye anasoma mpaka hatua ya kupata shahada ya mambo ya Mto Nile. Wote hawa ambao Marekani na mabeberu wengine huingia gharama ya kuwasomesha, hufanya kazi bega kwa bega za serikali zao, na ndio huvujisha siri nyingi za kijasusi kwa marais na wasaidizi wao. Kabla ya waarabu hawajavamiwa kijasusi walitazamwa kwa undani tena kwa miaka mingi.
 
Anayewachonganisha hafanyi kazi ya uchonganishi ndani ya siku au mwezi mmoja, ni michakato inayochukua miaka kuweza kukamilika. Kibaya zaidi vita na uhasama zinazotengenezwa na wazungu zinazalisha mamilioni ya wakimbizi na sio wote wanaoweza kukimbia na kukatiza katika bahari ya mediterranean pasipo kuzama majini!.

Kama ushajua kuwa tatizo ni kuwa UNACHONGANISHWA basi hilo siyo tatizo tena. Unless unataka kusema kuwa Waarabu hawajui hilo ila ni wewe tu ndiye unalijua tatizo lao!!

Tatizo ni Waarabu wenyewe ........... kitu ninachoweza kukubaliana nacho kwa kiasi, kuna nguvu ya nje ambayo inachochea. Ndiyo maana jamaa hawaishiwi silaha wala chakula!!
 
Mkono wa magharibi unahusika sana katika machafuko ya waarabu. Ipo hoja ya kuupinga uislam ipo hoja ya kuwagombanisha waarabu ili mafuta yao yapatikane kirahisi. Russia na Marekani hawakwepi lawama juu ya yale yanayotokea Syria. Russia inaupigania uongozi wa sasa wa Syria kwa sababu ni soko la kudumu la bidhaa za kirusi. Marekani imelea vikundi vingi vya kigaidi lakini vimekuja kuwageuka, ni sawa na mtu afuge Chui halafu akija kukua amgeuke yule aliyemfuga. Waarabu wameteketezwa na watu wa magharibi, sijui ni lini tena nchi zao zitarudi katika ile furaha waliyokuwa nayo miaka ya zamani.


Mkuu kusoma kuna raha yake, asikudanganye mtu. Toka enzi na enzi hata kabla Marekani na Russia kujulikna waarab ni watu wa varangati na wasio eleweka. Kuwasingizia wazungu ni ujinga tu ama kisingizio....waarab toka kitambo hawajitambui na rahisi sana kutafuta visingizio badala ya suluhisho.
 
Mkono wa magharibi unahusika sana katika machafuko ya waarabu. Ipo hoja ya kuupinga uislam ipo hoja ya kuwagombanisha waarabu ili mafuta yao yapatikane kirahisi. Russia na Marekani hawakwepi lawama juu ya yale yanayotokea Syria. Russia inaupigania uongozi wa sasa wa Syria kwa sababu ni soko la kudumu la bidhaa za kirusi. Marekani imelea vikundi vingi vya kigaidi lakini vimekuja kuwageuka, ni sawa na mtu afuge Chui halafu akija kukua amgeuke yule aliyemfuga. Waarabu wameteketezwa na watu wa magharibi, sijui ni lini tena nchi zao zitarudi katika ile furaha waliyokuwa nayo miaka ya zamani.

Hoja ya kuupinga uislamu ni uzushi. Uislamu unajipinga wenyewe
 
Tatizo dini basi! Hebu ona hata jins dini yenywe ilivyoenezwa huko uarabuni! Sasa wao wanavidhehebu vichache sana lakini kila siku kujilipua. Yani mtu toka shia anavaa bomu anaenda kujipua mbele ya mkusanyiko wa suni,,hapo mmagharibi atalaumikaje?

Alafu kama ni mzungu anawagawa kwa nn ni wao tu?

Hebu ona bokoharamu, alashababu n.k,,,vitu wanavyopiigania ni upuuzi mtupu!

Hivi huyo mungu wao hana uwezo wa kujipigania mpaka wew uvae bomu ukamlipue mtu kisa hafati itikadi yako?

Je kati ya Mungu aliye kuumba na wewe uliyeumbwa yupi anapaswa kumpigania mwenzie?

Dini imejaa mafundisho ya kipuuzi ndio maana hata wafuasi wake hata kama ni msomi atafanya upuuzi!

Hebu fikiria wakristo wangekuwa na itikadi za udhehebu, kwamba hata serikallini uwekwe udhehebu dunia ingekalika? Tanzania je?

Dini yao hao warabu ndio iewatoa akili!
 
Kama ushajua kuwa tatizo ni kuwa UNACHONGANISHWA basi hilo siyo tatizo tena. Unless unataka kusema kuwa Waarabu hawajui hilo ila ni wewe tu ndiye unalijua tatizo lao!!

Tatizo ni Waarabu wenyewe ........... kitu ninachoweza kukubaliana nacho kwa kiasi, kuna nguvu ya nje ambayo inachochea. Ndiyo maana jamaa hawaishiwi silaha wala chakula!!
Usiwasimange sana waarabu, haya yanayowakuta yanaweza kutukuta hata sisi, kwa sasa china na marekani wanayagombania mafuta na gesi iliyoko katika ukanda huu. Usishangae wakatuanzishia ***** ***** kama hizi wanazokutana nazo waarabu kiasi cha maisha yao kusambaratika. Mungu apishie mbali haya nayoyaandika yasije kutokea, lakini mabepari huwa tayari kufanya lolote ili mradi tu nia za dhalimu ziweze kutimizwa. Vyombo vyao vya habari vinatumiwa kitaalam sana ili dunia isiuone unyama wao. Tusiwanyooshe sana vidole waarabu, yanayowakuta kwa sasa yanaweza kuwakuta watu wa mataifa mengine, ikiwa viongozi wa nchi zao wataamua kuupinga ukoloni mamboleo wa marekani.
 
Mkuu kusoma kuna raha yake, asikudanganye mtu. Toka enzi na enzi hata kabla Marekani na Russia kujulikna waarab ni watu wa varangati na wasio eleweka. Kuwasingizia wazungu ni ujinga tu ama kisingizio....waarab toka kitambo hawajitambui na rahisi sana kutafuta visingizio badala ya suluhisho.
Nimesoma na waarabu nje ya nchi, nawajua vizuri sana, ni kweli wanaweza kuwa ni makatili na watu wapenda ugomvi. lakini usipende sana kuziamini habari za kina CNN, BBC na vyombo vyao vingine vya habari, siku zote hutanguliza propaganda zinazousifia unyama wa marekani na magharibi kwa ujumla. Waarabu ni wakorofi lakini utajiri wao pia, umechangia katika kuwagombanisha na nchi za magharibi, Bush alisema Iraq inamiliki silaha za maangamizi na hicho kikawa kigezo cha kuivamia, mbona hakukuwahi kuwekwa hadharani ushahidi wowote wa uwepo wa silaha za maangamizi?. Lakini tangu baada ya vita ile wamekufa watu wengi sana tena bila ya hatia yoyote ile.
 
Nimesoma na waarabu nje ya nchi, nawajua vizuri sana, ni kweli wanaweza kuwa ni makatili na watu wapenda ugomvi. lakini usipende sana kuziamini habari za kina CNN, BBC na vyombo vyao vingine vya habari, siku zote hutanguliza propaganda zinazousifia unyama wa marekani na magharibi kwa ujumla. Waarabu ni wakorofi lakini utajiri wao pia, umechangia katika kuwagombanisha na nchi za magharibi, Bush alisema Iraq inamiliki silaha za maangamizi na hicho kikawa kigezo cha kuivamia, mbona hakukuwahi kuwekwa hadharani ushahidi wowote wa uwepo wa silaha za maangamizi?. Lakini tangu baada ya vita ile wamekufa watu wengi sana tena bila ya hatia yoyote ile.




Mkuu utakuwa wale waliosoma kwa scholarship za bure kipindi cha Libya,Algeria,Misri au Morroco
 
Mkuu utakuwa wale waliosoma kwa scholarship za bure kipindi cha Libya,Algeria,Misri au Morroco
Nilisoma Ulaya mashariki miaka mingi iliyopita lakini nimeishi na wamisri, walibya, wairaq, wairan na waarab wengi lakini hilo sio muhimu kilicho muhimu ni ukweli kuwa pamoja na ukorofi ambao ni asili ya waarab, bado wamerakani waingereza na nchi nyingine za magharibi zinahusika na machafuko yaliyowarudisha nyuma waarab. Haya yanayotokea kwa waarabu yanaweza kutukuta sisi pia, kwani sababu za kutugombanisha na wazungu zipo, nazo ni wingi wa utajiri ambao Mungu ametujalia. Tusipende sana kushabikia mambo ambayo hata sisi yanaweza kutukuta.
 
Miafrika ni MIJITU YA AJABU SANA. ni MIJINGA KWA UKWELI yaani ugomvi wenu mnasingizia wazungu miaka na miaka? ninyi mna akili kweli? waafrika ni kama wanyama. Kijijini kwetu kuna mchezo wa kugombanisha madume ya ng'ombe. BINADAMU wanawachonganisha NG'OMBE nao ng'ombe wanaanza kupigana pasipo kuwa na sababu za msingi lakini kwa kuwa ni ng'ombe pengine huwa baadaye wanaulizana ugomv wetu nini wanasema BINADAMU hao ndo wanatugombanisha.

HUWEZI UKAWA NA AKILI TIMAMU KILA SIKU UNASEMA WAZUNGU WANAWAGOMBANISHA UTAKUWA NI LING'OMBE TU. we huna akili kujua jema na baya? hebu tuacheni kuwa na akili za kitoto na kutafuta excuse kila siku eti wazungu wanatugombanisha. nani anawashikisha mikononi bunduki? nend rwanda utasema ni wazungu? hivi sisi tuna akili kweli? si bure tumerogwa.
Waafrika wame ingiaje hapa!? Punguza kukurupuka bana, mtoa post ana zungumzia ulimwengu wa waarabu.
 
Tuwe makini sana na hawa watu hata hapa kwetu wanajaribu kutuvuruga
Niliisoma historia ya Marekani kwenye suala zima la uhusiano wa kimataifa na vita! Wale watu hawafahamu tu lakini nadhani lile taifa limelaaniwa! Kila wanapogusa, lazima waache maafa na maafa yao huwa hayafutiki mapema.... inachukua miaka kadhaa!

Kile wanachokifanya hivi sasa Syria kwa kufadhili waasi ili wamuondoe Bashir Al Asad; waliwahi pia fanya Guatemala kwa kutumia CIA! Baada ya kuondolewa Rais wa Guetemala wa wakati huo; nchi ikaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilidumu miaka 30!!!

Wameingia Afghanistan, miaka 15 imepita sasa hali bado tete! Wakaenda Iraq; mwaka wa 13 sasa watu bado wanachinjana! Wakaingia Libya; mwaka wa 4 sasa wanageuzana bucha! Syria nako hakusemeki! Mbaya zaidi, hamna sehemu yoyote kati ya hizo kunakookena kwamba mgogoro upo njiani kwisha!
 
Waarabu ni wajinga sana. Na kuanza kusema Wazungu ndio Chanzo unazidi kudhihirisha ujinga wa Waarabu.
Ni sawa na kusema Kikwete alikua anafanya Uzembe kwakua watendaji wake walikua wana muangusha au kusema Kikwete alikua hashauriwi vizuri, kitu ambacho sio kweli kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom