Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Status
Not open for further replies.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Haya yameendelea kwa miaka kadhaa sasa katika ulimwengu wa kiarabu hali si shwali. kila nchi ukiangalia kwa makini hasa yale yaliyokuwa mataifa yenye nguvu katika ulimwengu huo yamekuwa na wakati mgumu. angalia Libya, Iraq, Misri na Syria. mataifa ambayo yalikuwa na nguvu kiasi flan katika ulimwengu wa kiarabu. Swali ni nini chanzo cha kuanguka kwao au kuwa katika machafuko haya? jibu jepesi litakuwa mataifa ya magharibi au marekani. lakini kwa wasomi tunapaswa kuingia ndani zaidi. hali yake ilikuaje toka kitambo na nini ni tatizo kubwa.
mataifa ya kiarabu hayakuundwa kuishi kidemokrasia.
na ndo maana unayaona ni yenye machafuko makali sana. Ni mataifa ambayo watu hutawala kwa upanga na kama huamini kuna hizi data hapa kuhusiana na hali iliyoko sasa hasa ukienda iraq baada ya kuangushwa saddam hussein, ukienda libya baada ya kuangushwa muammar ghadafi na pengine aliyekuwa akionekana kama mpiganaji wa waislamu/waarab osama bin laden. hatimaye tena nchi nying za kiarab hazijatulia ka miaka mingi hata baada ya kondolewa watawala wa mikono ya chuma.

ARAB WORLD IN CHAOS
Syria is in a full-fledged civil war having claimed the lives of over 105,000 people. And most worrisome for America and Israel is al Qaeda is resurgent in Syria.

Egypt is locked into a dangerous stalemate between Islamists and the military. No peaceable solution is in sight. Massive unemployment and debt are strangling the country, and there is no quick-fix solution on the horizon.

Iraq Iraqi security forces launched a major offensive against insurgents in the country’s northwestern and western regions on Sunday. Iraq is deteriorating, and little can be done to stop the violence between Sunni and Shia Muslims . Shia Muslims are the majority of the population.

Yemen is a very serious concern for the United States… Yemeni security forces remained on high alert amid fears of an imminent attack by al Qaeda in the capital, Sana’a, after the US and Britain withdrew all embassy staff and again urged their citizens to leave the country.

Libya is not so much a country anymore but a name on maps that is home to dozens of militias, tribes, and desert nomads, all seeking to assert power. Libya has not a unified voice, and is on the brink of its own civil war.

Jordan is in a much-weakened state; the Monarchy is constantly scrambling to maintain political power. The Muslim Brotherhood has a strong presence in the country. Jordan stands at the crossroads of the regions conflicts: Shia versus Sunni and Arab versus Israeli. It has a peace treaty with Israel.

Bahrain is an island nation close to Iran (geographically), but led by a Sunni monarchy that rules the majority Shia (Iran-friendly) citizenry. There is continued protests and unrest. If it were not for Saudi backing, Bahrain would experience a coup d’état encouraged by Iran.

The Sinai Peninsula (a desert that separates Egypt and Israel) has become a mini-Afghanistan. The Sinai Peninsula has been a haven for militants and terrorists for decades. A barren desert, the Sinai is very difficult to control.

Saudi Arabia is relatively stable but there are worries. Saudi Arabia is in the midst of a historic generational change of leadership; the Saudi leadership are in their 80’s. Who will lead this powerful nation in the next 3 to 5 years and beyond will be watched intensely.
 
Kuna watu fulani wao ni kuwaza mataifa ya magharibi tu, huku chanzo ni waarabu wenyewe. Watawala wa Kiarabu ni wakibamavu na mfumo wao siyo wa kidemokrasia wamejaribu kuwa na serikali za mfumo wa ulaya wameshindwa. Tatizo hapa ni utawala na ni watu wanaosingizia dini, kuweka pamoja serikali na mamlaka ya serikali
 
Uking'ang'ana sana na dini unakua chizi,huwezi ona umaana na thamani ya maisha.
Waarabu wajifunze kula maraha duniani...disco kidogo,bia na seatfire kidogo,michezo,michepuko kidogo.
wanakomaa kupigana mimawe,Mara kujiteenga kati ya Me na Ke mwishoe mistress wanaishia kujilipua.
iv samahani eti kuua / kula unga na kula ng'roo ipi dhambi mbaya?
 
Sasa wazungu wanalaumiwa. Basi kwa nini wakubali wachinjane kwa ajili ya Hao wazungu? Kwanini wakubali kuchonganishwa nawazungu Kwanini wasingeresist? Ni theajinga tu
 
Mkono wa magharibi unahusika sana katika machafuko ya waarabu. Ipo hoja ya kuupinga uislam ipo hoja ya kuwagombanisha waarabu ili mafuta yao yapatikane kirahisi. Russia na Marekani hawakwepi lawama juu ya yale yanayotokea Syria. Russia inaupigania uongozi wa sasa wa Syria kwa sababu ni soko la kudumu la bidhaa za kirusi. Marekani imelea vikundi vingi vya kigaidi lakini vimekuja kuwageuka, ni sawa na mtu afuge Chui halafu akija kukua amgeuke yule aliyemfuga. Waarabu wameteketezwa na watu wa magharibi, sijui ni lini tena nchi zao zitarudi katika ile furaha waliyokuwa nayo miaka ya zamani.
 
Kuna watu fulani wao ni kuwaza mataifa ya magharibi tu, huku chanzo ni waarabu wenyewe. Watawala wa Kiarabu ni wakibamavu na mfumo wao siyo wa kidemokrasia wamejaribu kuwa na serikali za mfumo wa ulaya wameshindwa. Tatizo hapa ni utawala na ni watu wanaosingizia dini, kuweka pamoja serikali na mamlaka ya serikali
waarabu hawapendani wao kwa wao hata kwenye kambi za ukimbiz ulaya wanajitenga kubaguana wao kwa wao ndio maana mzungu aliona huu udhaif wao akawachonganisha. At least dini na imani yao ingekuwa a unite factor lakin ndio imewafanya wazid kuchukiana
 
Mkono wa magharibi unahusika sana katika machafuko ya waarabu. Ipo hoja ya kuupinga uislam ipo hoja ya kuwagombanisha waarabu ili mafuta yao yapatikane kirahisi. Russia na Marekani hawakwepi lawama juu ya yale yanayotokea Syria. Russia inaupigania uongozi wa sasa wa Syria kwa sababu ni soko la kudumu la bidhaa za kirusi. Marekani imelea vikundi vingi vya kigaidi lakini vimekuja kuwageuka, ni sawa na mtu afuge Chui halafu akija kukua amgeuke yule aliyemfuga. Waarabu wameteketezwa na watu wa magharibi, sijui ni lini tena nchi zao zitarudi katika ile furaha waliyokuwa nayo miaka ya zamani.
sasa kwanini wakubali kuchonganishwa? Na wao ni ndugu katika imani moja?
 
Miafrika ni MIJITU YA AJABU SANA. ni MIJINGA KWA UKWELI yaani ugomvi wenu mnasingizia wazungu miaka na miaka? ninyi mna akili kweli? waafrika ni kama wanyama. Kijijini kwetu kuna mchezo wa kugombanisha madume ya ng'ombe. BINADAMU wanawachonganisha NG'OMBE nao ng'ombe wanaanza kupigana pasipo kuwa na sababu za msingi lakini kwa kuwa ni ng'ombe pengine huwa baadaye wanaulizana ugomv wetu nini wanasema BINADAMU hao ndo wanatugombanisha.

HUWEZI UKAWA NA AKILI TIMAMU KILA SIKU UNASEMA WAZUNGU WANAWAGOMBANISHA UTAKUWA NI LING'OMBE TU. we huna akili kujua jema na baya? hebu tuacheni kuwa na akili za kitoto na kutafuta excuse kila siku eti wazungu wanatugombanisha. nani anawashikisha mikononi bunduki? nend rwanda utasema ni wazungu? hivi sisi tuna akili kweli? si bure tumerogwa.
 
Wazungu ndo waanzilish wa machafuko kisha wanashindwa kuyamaliza angalia iraq
 
sasa kwanini wakubali kuchonganishwa? Na wao ni ndugu katika imani moja?
Anayewachonganisha hafanyi kazi ya uchonganishi ndani ya siku au mwezi mmoja, ni michakato inayochukua miaka kuweza kukamilika. Kibaya zaidi vita na uhasama zinazotengenezwa na wazungu zinazalisha mamilioni ya wakimbizi na sio wote wanaoweza kukimbia na kukatiza katika bahari ya mediterranean pasipo kuzama majini!.
 
Na waarabu au waafrika lini waliisafisha dunia? huku ni kuwaza kivivu sana. tena kuwaza kivivu mpaka hatua ya mwisho. basi waafrika au waarabu wote hawana akili. kwanini wao wachonganishwe tu kila siku?

Wazungu ndio wameichafua dunia tangu vita ya I
 
Ndio maana nasema tusifumbie macho haya mambo ya chuki tukachukua kimatani oh cjui wa kaskazin cjui chotara hizbu. Chuki hujijenga taratibu ikikomaa na kupata mpenyo watu wanauana kama kuku.

Chuki kati ya waarab ilkuwepo toka zaman tu ila ilisubir fursa
 
warabu kunachowaangusha ni kutaka serekali za kidini. hata mm ni mwislam lakini sipendi kuona nchi zina serekali za kislam...kuna nchi kama syria kabla ya vita Ilikua secular japo ilikua sio democracy Ila amani ilikuepo watu wanaishi kwa uhuru sasa akiondoka asad tu nchi itaingia katika machafuko ya kidini. sunni vs shia wote wanataka madaraka..hiyo ndio sababu inayowafanya waraabu washindwe kujiongoza ki democracy....mfano mwengine ni iraq, chama cha sadam cha baathist kilikua hakina dini baada ya marekani kuwatoa na kuweka uchaguzi raisi alieshinda alikua ni shia hii iliwakasirisha sunni na kupelekea kuanzishwa kwa kikundi cha ISIS ambacho ni cha sunni na kinapigana na serekali ya shia, nchi imekua na mgawanyiko mkubwa wa kidini baada ya kuletewa democracy. ...kuifupi warabu dawa yao ni dictatorship au kupiga marufuku serekali kua na dini
 
Anayewachonganisha hafanyi kazi ya uchonganishi ndani ya siku au mwezi mmoja, ni michakato inayochukua miaka kuweza kukamilika. Kibaya zaidi vita na uhasama zinazotengenezwa na wazungu zinazalisha mamilioni ya wakimbizi na sio wote wanaoweza kukimbia na kukatiza katika bahari ya mediterranean pasipo kuzama majini!.
Kama hii theory yako ni kweli basi wazungu ni watu hatari sana na wanastahili kutunukiwa heshima ya juu sana. Manake najua waarabu matajiri sana natumai pia huko kwao wameenda shule sana kwa maana ya kuwa wana vyuo vikuu vingi bora kabisa.. Kukubali kushikwa masikio na kuchonganishwa uchinjane na nduguyo (saudia vs Yemen na Iran.. Iran vs Iraq ..libya vs Qatar.. Syria, Lebanon, iran vs saudia, Qatar, Bahrain jordan etc etc) basi hawa wazungu watakuwa na akili ndefu sana… wa kuwaheshimu sana (pun intended)
 
Hakuna cha magharibi wala mashariki. Tatizo ni dini kutaka kuchangamanishwa na siasa ili kuongoza nchi baasi. Badala yake unakuja kuta hata dini pia sio moja, ziko nyingi sasa ya nani ni ya kweli, ya nani iongoze na sheria zake, kwanini huyu aongoze na wala sio dini fulani, nani aliagizwa na mungu awe kiongozi hapo nk ndio moto upo hapo. Dunia na nchi zao zisipotegua huo mtego nchi hizo mpaka zibaki magofu ndio wataacha kupigana risasi na kuchinjana
 
waarabu hawapendani wao kwa wao hata kwenye kambi za ukimbiz ulaya wanajitenga kubaguana wao kwa wao ndio maana mzungu aliona huu udhaif wao akawachonganisha. At least dini na imani yao ingekuwa a unite factor lakin ndio imewafanya wazid kuchukiana
Kuna watu wameuana kama wazungu kwenye hii dunia?

The most well-known Genocide in history, the Holocaust was the systematic extermination of Jews, and other ethnic groups deemed inferior by Nazi Germany, and its allies, such as Ustashi-controlled Croatia. Estimated killed: 17,000,000
 
Ndio maana nasema tusifumbie macho haya mambo ya chuki tukachukua kimatani oh cjui wa kaskazin cjui chotara hizbu. Chuki hujijenga taratibu ikikomaa na kupata mpenyo watu wanauana kama kuku.

Chuki kati ya waarab ilkuwepo toka zaman tu ila ilisubir fursa
Wewe unasumbuliwa na chuki dhidi ya Waislam na waarabu soma hii kiduchu.

The Genocide of Native Americans is by far the most overlooked Genocide in history. European colonization of the “New World” directly led to the decline of its indigenous population by more than 80% and resulted in Native Americans becoming second-class citizens in their ethnic homeland. Estimated killed: 2,000,000-100,000,000.

Kuna waarabu hapo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom