Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Status
Not open for further replies.
Kuna watu fulani wao ni kuwaza mataifa ya magharibi tu, huku chanzo ni waarabu wenyewe. Watawala wa Kiarabu ni wakibamavu na mfumo wao siyo wa kidemokrasia wamejaribu kuwa na serikali za mfumo wa ulaya wameshindwa. Tatizo hapa ni utawala na ni watu wanaosingizia dini, kuweka pamoja serikali na mamlaka ya serikali
Mkuu uko sawa kweli??
 
Mimi naitwa Ritz.

Soma hii kiduchu...
The Irish Civil War (Irish: Cogadh Cathartha na hÉireann; 28 June 1922 – 24 May 1923) followed the Irish War of Independence and accompanied the establishment of the Irish Free State, an entity independent from theUnited Kingdom but within the British Empire.The conflict was waged between two opposing groups, Irish republicans and Irish nationalists over the Anglo-Irish Treaty. The forces of the "Provisional Government" (which became the Free State in December 1922) supported the Treaty, while theRepublican opposition saw it as a betrayal of the Irish Republic (which had been proclaimed during the Easter Rising). Many of those who fought in the conflict had been members of the Irish Republican Army (IRA) during the War of Independence.The Civil War was won by the Free State forces, which were heavily armed with weapons provided by the British Government. The conflict claimed more lives than the War of Independence that preceded it, and left Irish society divided and embittered for generations.[4] Today, two of the mainpolitical parties in the Republic of Ireland,Fianna Fáil and Fine Gael, are direct descendants of the opposing sides of the.

Kama hii utapinga soma hii...

Almost 8,000 people are confirmed dead in the 17 months of fighting in eastern Ukraine, the United Nations' human rights agency said Tuesday in a report that admonished Russia's involvement in the deadly crisis.The report by the U.N. Human Rights Monitoring Mission in Ukraine noted that large-scale offensives have been few in recent months but that the number of civilian deaths and injuries had more than doubled since May in comparison with the previous three-month period.The rising toll among innocents results from the pro-Russia separatists and Ukrainian government forces waging artillery attacks on populated areas, the report noted."More needs to be done to protect civilians and put a complete stop to the hostilities, in accordance with the February cease-fire agreement," U.N. High Commissioner for Human Rights Zeid Raad Hussein told a news conference in Geneva.
Mwaka 1922? So una maana Wazungu wametuacha mbali namna hiyo? Wakati wao wameisha ona kuuana wao kwa wao sio ustaarabu sisi tunaona ndio mtindo wa kisasa? Au kwa maneno mengine wao wakitaka kuua watushawishi wenyewe kwa wenyewe tuuane lakini kwao hilo ni OLD fashion? Point yangu ipo hapo. Hizo historia zako za kitoto kila mtu kazisoma, ninacho jadiri mimi ni uendaji sambamba sisi na wao? Kwanini watuchonganishe na tunachonganishika? Tena sio sisi tu bali na Waarabu wakiwepo. Kwamfano, wazungu wamejiwekea kautaratibu kwamba pale mashariki ya kati kusiwepo AMANI na wamefanikiwa kweli. So sisi pamoja na Waarabu hatuna AKILI kiasi hicho? That is my point.

Well nadhani unadhani mi siwapendi Waarabu na pengine hadi kujichukia mwenyewe, kumbuka na mimi ni mweusi kama wewe, issue iko hivi; kani aliyechonganisha vita vya Wahutu na Watutsi ni NANI? Utashangaa Ufaransa ikitajwa (Mzungu) Miaka ya nyuma kidogo kule Msumbiji na Angola, wamepigana weeeee, (wenyewe kwa wenyewe) Kaburu alitajwa (Mzungu). Subiri siku ccm ikianza kufanya kinyume na Wazungu wanavyotaka (kiuchumi, sio hayo mambo ya kishenzi ya Ushoga) utasikia. Tunayosafari ndefu sana mdogo wangu ya kufika mahali tunapotakiwa kufika, na safari yenyewe sio idadi ya miaka, Tubadiri FIKRA. Tujue kua mchanga, Msukuma, Mhehe, Mzaramo nk hao wote ni ndugu zangu na ni Watanzani awenzangu, tukifanya hivyo tu hata angetokea nani kutuchonganisha haitatokea sisi kuuana. Hilo gap au tofauti za kidini na kikabila ndilo linalosababisha kule mashariki ya kati kuuana, inakuaje eti dhana ya kijinga kabisa (U sunni na U Shia) ndio sababu kubwa ya WaIran, Saudia, Yemen na hata Syria wauane vile ili hali wote mwezi wa Ramadhani wanafunga?
 
Haya mkubwa ngoja nikuache mimi history zangu za kitoto.

Nakukumbusha tu mpaka leo hii bado wazungu nao wanauwana wao kwa wao.

Angalia mipangano ya Ukraine na Urusi ni mwaka 2015/2016 hawa ni wazungu watupu hao kuna waarabu hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom