Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Ulimwengu wa Kiarabu katika Umwagaji damu/Machafuko makubwa

Status
Not open for further replies.
Mkono wa magharibi unahusika sana katika machafuko ya waarabu. Ipo hoja ya kuupinga uislam ipo hoja ya kuwagombanisha waarabu ili mafuta yao yapatikane kirahisi. Russia na Marekani hawakwepi lawama juu ya yale yanayotokea Syria. Russia inaupigania uongozi wa sasa wa Syria kwa sababu ni soko la kudumu la bidhaa za kirusi. Marekani imelea vikundi vingi vya kigaidi lakini vimekuja kuwageuka, ni sawa na mtu afuge Chui halafu akija kukua amgeuke yule aliyemfuga. Waarabu wameteketezwa na watu wa magharibi, sijui ni lini tena nchi zao zitarudi katika ile furaha waliyokuwa nayo miaka ya zamani.




Waarabu walikuwa na furaha lini mkuu?unajua historia au umekurupuka?Ottoman Empire imetawala waarabu kwa miaka500 mpaka mwanzoni wa karne ya20 hao wazungu hawajakaa hata miaka30 uarabuni in short waarabu wana matatizo yao
 
Niliisoma historia ya Marekani kwenye suala zima la uhusiano wa kimataifa na vita! Wale watu hawafahamu tu lakini nadhani lile taifa limelaaniwa! Kila wanapogusa, lazima waache maafa na maafa yao huwa hayafutiki mapema.... inachukua miaka kadhaa!

Kile wanachokifanya hivi sasa Syria kwa kufadhili waasi ili wamuondoe Bashir Al Asad; waliwahi pia fanya Guatemala kwa kutumia CIA! Baada ya kuondolewa Rais wa Guetemala wa wakati huo; nchi ikaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilidumu miaka 30!!!

Wameingia Afghanistan, miaka 15 imepita sasa hali bado tete! Wakaenda Iraq; mwaka wa 13 sasa watu bado wanachinjana! Wakaingia Libya; mwaka wa 4 sasa wanageuzana bucha! Syria nako hakusemeki! Mbaya zaidi, hamna sehemu yoyote kati ya hizo kunakookena kwamba mgogoro upo njiani kwisha!

Ukiamka ndotoni ukafanye uchunguzi tena kama ni marekani imetia maguu
Japan
Korea kusini
Philines
Vietnam
Etc mbona hamna vurugu hakuna huko?vurugu uarabuni tu ahahahaaah hizo nchi za kiarabu zilikuwa na vurugu toka kabla marekani haijawa taifa acheni udwanzi
 
Na
Wewe unasumbuliwa na chuki dhidi ya Waislam na waarabu soma hii kiduchu.

The Genocide of Native Americans is by far the most overlooked Genocide in history. European colonization of the “New World” directly led to the decline of its indigenous population by more than 80% and resulted in Native Americans becoming second-class citizens in their ethnic homeland. Estimated killed: 2,000,000-100,000,000.

Kuna waarabu hapo???
N.a. wewe kasome waislam waliua wahindi wangapi wakati wanaiteka India na waajemi wangapi wakati wanaiteka Persia pia na waafrica wangapi wakati wanaiteka africa kaskaxini
 
Kuna watu fulani wao ni kuwaza mataifa ya magharibi tu, huku chanzo ni waarabu wenyewe. Watawala wa Kiarabu ni wakibamavu na mfumo wao siyo wa kidemokrasia wamejaribu kuwa na serikali za mfumo wa ulaya wameshindwa. Tatizo hapa ni utawala na ni watu wanaosingizia dini, kuweka pamoja serikali na mamlaka ya serikali
Nchi za kiarabu kwa sasa zinaongozwa na majasusi ya Kimarekani na ya Kiingereza. Majasusi hao walipandikizwa muda mrefu sana na sasa wanaonekana maka raia wenye asili za nchi za kiarabu. Nimatajiri na wanamamlaka za kutoshakatika Nchi hizo. Lengo lilikuwa moja tu, Ni kusambaratisha Uislamu na wafuasi wa dini hiyo. Na hayo ndio yanayojiri sasa, Uislamu unaonekana si dini yeney ustarabu tena wa waislamu wanaonekana na wakweli na waaminifu tena. Lengo limeshatimia hasa kwa wasiojitambua na wasiotambua ukweli huu. Pamoja nayote hayo bado uislamu utashamiri na waislamu wataendelea kuwepo na kuoigania dini yao, kama ambavyo wasio waislamu wanavyopigania dini zao.
 
Waarabu walikuwa na furaha lini mkuu?unajua historia au umekurupuka?Ottoman Empire imetawala waarabu kwa miaka500 mpaka mwanzoni wa karne ya20 hao wazungu hawajakaa hata miaka30 uarabuni in short waarabu wana matatizo yao
Watanzania lini tumekuwa na furaha zaidi ya kulalamika hovyo kila siku?, mbona wabongo mnataka kujifanya mna haki ya kuwasimanga watu?. Historia naijua lakini siwezi kukutana wewe kwa kukwambia eti unakurupuka, tunzia mtu heshima ili naye akutunzie.
 
Wewe unasumbuliwa na chuki dhidi ya Waislam na waarabu soma hii kiduchu.

The Genocide of Native Americans is by far the most overlooked Genocide in history. European colonization of the “New World” directly led to the decline of its indigenous population by more than 80% and resulted in Native Americans becoming second-class citizens in their ethnic homeland. Estimated killed: 2,000,000-100,000,000.

Kuna waarabu hapo???



Mods, rudisheni bandiko langu nililoandika la mwanzo mwanzokwenye huu mjadala. Mnachofanya kuficha uekwlei watu wasijue ili waendelee kujadili nje ya ukweli siyo sahihi. Tafadhali sana naomba muache kuwa mnafuta mabandiko yanayokuwa yamebainisha ukweli. Na sijajua mnafanya haya kwa maslahi ya nani. La sivyo, wekeni kwenye policy yenu kwamba ni marufuku kuandika habari ambayo mods haiwafurahishi ama ambayo inalalia upande wa kushoto wa matakwa yao.

Na wewe Ritz1, kwa nini uislam uchukiwe? Na kwa nini kila maovu yanayofanywa kwa jina la uislam huwezi kuya address specifically lazima ukimbilie kwenye uislam? Kwani na wewe ni inbred?

Shida ya waarabu kuuana na kuishi kw amachafuko kila wanapotia mguu ni laana waliyolaaniwa na Mungu ntangu mwanzo wao.

La pili ni tabia mbaya ya kuzaliana baba na mjomba mara mtoto mara nini.

Tatizo ni mafundisho sonji ya dini yanayosisitiza chuki, visasi, mauaji na ubabe kama muhuri wa kuhalalisha uharifu dhdi ya binadamu kwa kisingizio cha mungu, bila kuangalia kwamba huyo mungu wa waarabu ni mungu katili kiasi gani asiyekuwa na msamaha, upendo wala suluhu. kweli kuna mungu wa namna hiyo?

Utaahira wa watawala na watawaliwa kukubali kuishi katika kisiwa cha itikadi ili kuwafunga macho na akili zao finyu watawaliwa ili wasipate maarifa kutoka jamii zingine. Ndiyo unakuta elimu ya uchawi na dini, dini nyingin marufuku kuhubiriwa kwao lakini wao wanapiga madomo wakilazimisha ibada kule wanakokdwenda.

Kisingizio cha Western countries ndicho kinathibitisha uenda wazimu wa waarabu kwama hawana akili. Mtu huwezi sema umeua ndugu zako kwa sababu kuna mtu alikuachie panga ama shoka nyumbani kwako kisha ukalazimika kulitumia kuua ndugu zako kwa kuwa lilikuwa karibu na wewe. Pumbavu kabisa.
 
Ukiamka ndotoni ukafanye uchunguzi tena kama ni marekani imetia maguu
Japan
Korea kusini
Philines
Vietnam
Etc mbona hamna vurugu hakuna huko?vurugu uarabuni tu ahahahaaah hizo nchi za kiarabu zilikuwa na vurugu toka kabla marekani haijawa taifa acheni udwanzi
We jamaa mtu wa ajabu sana! Nimeitaja Guetemala; kwani hivi sasa Guetemala kuna vurugu? Kisha unaitaja Vietnam; are you serious? Inawezekana kusoma unaona taabu lakini hata movie huangalii? Kuna movies ngapi kuhusu Vietnam War? Yaani hufahamu kwamba vita vya Vietnam ambavyo vilidumu kwa takribani miaka 20 kulikuwa na mkono wa Marekani?! Hivi huelewi ninaposema mahala anapoingia Marekani machafuko yake hayaishi haraka na ndio maana nikakupa mfano wa Guetemala na sasa huo mfano wa Vietnam! Kisha unaitaja Korea Kusini! Hivi hufahamu tension between North & South Korea? Ina maana hufahamu kwamba ndugu hawa wawili walishatwangana hadi hivi sasa kuwa mataifa mawili tofauti na kwenye vile vita kulikuwa na mkono wa US?! JAPAN? Kumbe hata issue ya Hiroshima Bombing huifahamu lakini bado unanitaka mimi ndo niamke usingizini!!! Google Philippine-American War uone ikiwa hata wao wamesalimika na US!

Nadhani hivi sasa ushafahamu ni nani kati yetu anapaswa kuamka tondoni!
 
Na

N.a. wewe kasome waislam waliua wahindi wangapi wakati wanaiteka India na waajemi wangapi wakati wanaiteka Persia pia na waafrica wangapi wakati wanaiteka africa kaskaxini
Weka ushahidi kama niliyoweka mimi siyo porojo za mwenye vijiwe vya mbege.
 
machafuko huwa yanachochewa na wazungu kuchota rasilimali,...
 
Sijapata bado mantiki ya huu mjadala kuhamia kwenye dini huku baadhi ya ndugu zangu wakiona kama vile ni dini yao (uislam) unashambuliwa. Ishu ilikuwa ni WAARABU… kuna waarabu wakristo wengi tu na kuna waarabu waislam. Kilichokuwa kinazungumzwa hapa ni makabila ya waarabu na sio ukristo na uislam.
 
Mods, rudisheni bandiko langu nililoandika la mwanzo mwanzokwenye huu mjadala. Mnachofanya kuficha uekwlei watu wasijue ili waendelee kujadili nje ya ukweli siyo sahihi. Tafadhali sana naomba muache kuwa mnafuta mabandiko yanayokuwa yamebainisha ukweli. Na sijajua mnafanya haya kwa maslahi ya nani. La sivyo, wekeni kwenye policy yenu kwamba ni marufuku kuandika habari ambayo mods haiwafurahishi ama ambayo inalalia upande wa kushoto wa matakwa yao.

Na wewe Ritz1, kwa nini uislam uchukiwe? Na kwa nini kila maovu yanayofanywa kwa jina la uislam huwezi kuya address specifically lazima ukimbilie kwenye uislam? Kwani na wewe ni inbred?

Shida ya waarabu kuuana na kuishi kw amachafuko kila wanapotia mguu ni laana waliyolaaniwa na Mungu ntangu mwanzo wao.

La pili ni tabia mbaya ya kuzaliana baba na mjomba mara mtoto mara nini.

Tatizo ni mafundisho sonji ya dini yanayosisitiza chuki, visasi, mauaji na ubabe kama muhuri wa kuhalalisha uharifu dhdi ya binadamu kwa kisingizio cha mungu, bila kuangalia kwamba huyo mungu wa waarabu ni mungu katili kiasi gani asiyekuwa na msamaha, upendo wala suluhu. kweli kuna mungu wa namna hiyo?

Utaahira wa watawala na watawaliwa kukubali kuishi katika kisiwa cha itikadi ili kuwafunga macho na akili zao finyu watawaliwa ili wasipate maarifa kutoka jamii zingine. Ndiyo unakuta elimu ya uchawi na dini, dini nyingin marufuku kuhubiriwa kwao lakini wao wanapiga madomo wakilazimisha ibada kule wanakokdwenda.

Kisingizio cha Western countries ndicho kinathibitisha uenda wazimu wa waarabu kwama hawana akili. Mtu huwezi sema umeua ndugu zako kwa sababu kuna mtu alikuachie panga ama shoka nyumbani kwako kisha ukalazimika kulitumia kuua ndugu zako kwa kuwa lilikuwa karibu na wewe. Pumbavu kabisa.
Hamna cha maana kwenye huu uharo uliondika hapa.
 
Sijapata bado mantiki ya huu mjadala kuhamia kwenye dini huku baadhi ya ndugu zangu wakiona kama vile ni dini yao (uislam) unashambuliwa. Ishu ilikuwa ni WAARABU… kuna waarabu wakristo wengi tu na kuna waarabu waislam. Kilichokuwa kinazungumzwa hapa ni makabila ya waarabu na sio ukristo na uislam.
...watu muflisi wa hoja wanapenda kukimbilia kuutumia uislam.....uarabu ni jambo moja, uislam ni jambo lingine.....kosovo, bosnia, albania,Kazakhstan, ni nchi za kiislam ktk ulaya na zinasonga mbele, pamoja pamoja na changamoto zilizopo....
 
Nimesoma na waarabu nje ya nchi, nawajua vizuri sana, ni kweli wanaweza kuwa ni makatili na watu wapenda ugomvi. lakini usipende sana kuziamini habari za kina CNN, BBC na vyombo vyao vingine vya habari, siku zote hutanguliza propaganda zinazousifia unyama wa marekani na magharibi kwa ujumla. Waarabu ni wakorofi lakini utajiri wao pia, umechangia katika kuwagombanisha na nchi za magharibi, Bush alisema Iraq inamiliki silaha za maangamizi na hicho kikawa kigezo cha kuivamia, mbona hakukuwahi kuwekwa hadharani ushahidi wowote wa uwepo wa silaha za maangamizi?. Lakini tangu baada ya vita ile wamekufa watu wengi sana tena bila ya hatia yoyote ile.


Mkuu rejea hayo maneno niliyosema wakati unaninukuu then utanielewa vizuri. Nimesoma pia na waarab na some were my room mates chuoni. I never understand these people, wanapenda sana unafiki na ku-complain for no reason. I know them very well na hata kiarab kidogo kinapanda because of them. Masuala ya Iraq yana ukweli na uwongo wake, haswa propaganda. Miaka ya 80 mwanzoni wakati wa vita vya Iraq na Iran, Marekani walikuwa wanajuwa kuwa Sadam anaua watu wake kwa gesi hili halina pingamizi, ila walimsupport kupigana na Iran kwa sababu Marekani ilikuwa haipendi utawala wa Iran. Kiukweli Sadam ni muuaji sawa tu na rais wa Syria. Rais wa Syria ni mwarab na hakuna taifa lolote la Magharibi linalomsupport kuua watu wake bali yeye anawaua ili azidi kubakia madarakani. Cha kushangaza wale anao waua ndio wanaomba support toka nchi za Magharibi kumng'oa Assad (rais) sawa na walivyofanya wakurd wa Iraq kuomba Marekani kumn'goa Saddam kwani wao walishindwa kutokana na kutokuwa na ubavu. Hapa tatizo liko wapi? Tuchukulie mfano Rwanda. Kwa sasa dunia nzima unajuwa kuwa Kagame ni dictator na muuaji, je wanyarwanda wakiomba Marekani au nchi za Magharibi kumng'oa Kamage kutumia mabavu ni dhambi ikiwa wenyewe wanashindwa? Waarab by nature ni wabaguzi, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe kutokana na tofauti ya makundi ya dini zao kwani kila mmoja anavutia upande wake. Anyways it's a long story, tuachie hapa kwani nitakuboa.
 
Weka ushahidi kama niliyoweka mimi siyo porojo za mwenye vijiwe vya mbege.
Misc Links

Website Search
Enter keyword(s) below to search this website.
Printer Friendly Page
E-mail This Page
monk.jpg

Monk Praying
On Holy Mt. Athos
In Memory Of The 50 Million Victims Of The Orthodox Christian Holocaust
Compiled by Rev. Archimandrite Nektarios Serfes
Boise, Idaho
U.S.A.
October 1999
Written by Reverend Father Raphael Moore
(Reprinted from Holy Transfiguration Greek Orthodox Church Sioux Falls, SD., Protopresbtyer Benjamin Henderson, Priest)

History Of Asia Minor: 1894-1923
During 1894-1923 the Ottoman Empire conducted a policy of Genocide of the Christian population living within its extensive territory. The Sultan, Abdul Hamid, first put forth an official governmental policy of genocide against the Armenians of the Ottoman Empire in 1894.

Systematic massacres took place in 1894-1896 when Abdul savagely killed 300,000 Armenians throughout the provinces. Massacres recurred, and in 1909 government troops killed, in the towns of Adana alone, over 20,000 Christian Armenians.

When WW1 broke out the The Ottoman Empire was ruled by the "Young Turk" dictatorship which allied itself with Germany. Turkish government decided to eliminate the whole of the Christian population of Greeks, Armenians, Syrians and Nestorians. The government slogan, "Turkey for the Turks", served to encourage Turkish civilians on a policy of ethnic cleansing.

The next step of the Armenian Genocide began on 24 April 1915 with the mass arrest, and ultimate murder, of religious, political and intellectual leaders in Constantinople and elsewhere in the empire. Then, in every Armenian community, a carefully planned Genocide unfolded: Arrest of clergy and other prominent persons, disarmament of the population and Armenian soldiers serving in the Ottoman army, segregation and public execution of leaders and able-bodied men, and the deportation to the deserts of the remaining Armenian women, children and elderly. Renowned historian Arnold Toynbee wrote that "the crime was concerted very systematically for there is evidence of identical procedure from over fifty places."

The Genocide started from the border districts and seacoasts, and worked inland to the most remote hamlets. Over 1.5 million Armenian Christians, including over 4,000 bishops and priests, were killed in this step of the Genocide.

The Greek Christians, particularly in the Black Sea area known as Pontus, who had been suffering from Turkish persecutions and murders all the while, saw the Turks turn more fiercely on them as WW1 came to a close. The Allied Powers, at a peace conference in Paris in 1919, rewarded Greece for her support by inviting Prime Minister Venizelos to occupy the city of Smyrna with its rich hinterlands, and they placed the province under Greek control. This action greatly angered the Turks. The Greek occupation was a peaceful one but drew immediate fire from Turkish forces in the outlying areas. When the Greek army farmed out to protect its people, a full-fledged war broke out between Greece and Turkey (the Greco-Turkish war).

The Treaty of Sevres, signed in 1920 to end WW1 and which provided for an independent Armenia, was never ratified. The treaty's terms changed not long after the ink dried as England, France and Italy each began secretly bargaining with Mustafa Kemel (Ataturk) in order to gain the right to exploit oil fields in the Mozul (now Iraq). Betrayed by the Allied Powers, the Greek military front, after 40 long months of war, collapsed and retreated as the Turks began again to occupy Asia Minor.

September 1922 signaled the end of the Greek and Armenian presence in the city of Smyrna. On 9 September 1922, the Turks entered Smyrna; and after systematically murdering the Armenians in their own homes, the forces of Ataturk turned on the Greeks whose numbers had swelled, with the addition of refugees who had fled their villages in Turkey's interior, to upwards of 400,000 men, women and children.

The conquering Turks went from house to house, looting, pillaging, raping and murdering the population. Finally, when the wind had turned so that it was blowing toward the sea so that the small Turkish quarter at the rear of the city was not in danger, Turkish forces, led by their officers, poured kerosene on the buildings and homes of the Greek and Armenian sectors and set them afire. Thus, any remaining live inhabitants of the city were flushed out to be caught between a wall of fire and the sea. The pier of Smyrna became a scene of final desperation as the approaching flames forced many thousands to jump to their death or to be consumed by fire.

The Allied warships and shore patrol of the French, British and American military were eyewitnesses to the events. George Horton, the American Consul in Smyrna, likened the finale at Smyrna to the Roman destruction of Carthage. He is quoted in Smyrna(1922, written by Marjorie Dobkin) as saying: Yet there was not fleet of Christian battleships at Carthage looking on a situation for which their governments were responsible." This horrible act unleashed the last phase of the genocide against the Christians of Turkish Asia Minor.

On 9 September 1997, a series of speakers and memorial services, honoring the memory of the 3.5 million Christians who were murdered by Turkish persecutions from 1894-1923, were held in the greater Baltimore Washington area. The memorial service was conducted by the choirs of St. Mary's Armenian Church, St. Katherine's Greek Orthodox Church, Fr. George Alexson of St. Katherine's, Fr. Vertanes Katayjian of St. Mary's and other Orthodox clergy.
The 75th anniversary of the Christian Holocaust was memorialized on 9 September 1997, the date in 1922 of the destruction of the city of Smyrna. This memorial honors the memory of over 3.5 million Christians who were murdered by Turkish persecutions from 1894-1923. Not only was this the memorial of the Holocaust of Smyrna (now Izmir) and the martyrdom of Smyrna's Metropolitan Chrysostomos, but also of the 3.5 million Christians who perished during the first Holocaust of this century. But the events of 1922 are not an isolated incident. The atrocities committed by Turkish forces against a civilian population began before WW1 and have never ended. This event seeks to expose the continuum of a Turkish campaign of persecution, deportation, and murder designed to rid Asia of its Christian populace.



GREEKS
 
Hakuna cha magharibi wala mashariki. Tatizo ni dini kutaka kuchangamanishwa na siasa ili kuongoza nchi baasi. Badala yake unakuja kuta hata dini pia sio moja, ziko nyingi sasa ya nani ni ya kweli, ya nani iongoze na sheria zake, kwanini huyu aongoze na wala sio dini fulani, nani aliagizwa na mungu awe kiongozi hapo nk ndio moto upo hapo. Dunia na nchi zao zisipotegua huo mtego nchi hizo mpaka zibaki magofu ndio wataacha kupigana risasi na kuchinjana

Huo ndio mtanziko ulopo uarabuni na suluhu pekee kwao ni kurudia tawala za kisultani na kifalme. Ukiangalia formation ya nchi hizi, utaona ziliundwa zaidi kimadhehebu ua kifalme/kisultani. Demokrasia inapo lazimishwa/ igwa kwenye mazingira haya ni wazi wamarekani watajiingiza na kulaumiwa kwa kutetea demokrasia yao. Waarabu ni matajiri ni wastaarabu tena wa kwanza, hivyo naamini wangeachwa bila kuingiliwa wange rezolve wenyewe kwani wanajua wamekosea wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom