Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Jamani msaada mwenye idea juu ya azimuth angle na elevation angle kuapply katika kufunga dish,maana na kokotoa na kupata azimuth angle na elevation angle ila kuapply katika kualign dish ndio shida.
 
Kuna mtu anatumia decoder ya BEINSPORT hapa dar es salaam?kama yupo naomba uniambie unatumia dish futi ngapi na uniunganishe na fundi mzuri.
 
Kuna mtu anatumia decoder ya BEINSPORT hapa dar es salaam?kama yupo naomba uniambie unatumia dish futi ngapi na uniunganishe na fundi mzuri.

beIN Sport kupatikana Dar kwa kwelini changamoto kubwa kwa sasa. Tumejaribu kuitafuta hapa Dar na mafundi mbalimbali kwa dish la ku 8ft bila mafanikio. Kama yupo atajuze. Kwa sasa nimehamia Canal+
 
Msaada kwa anayejaua namna ya kidelete unwanted channels kwwnye rcv ya wiztech 8035

hapo huwez kufua hizo ambazo huzitaki, option ktk baadhi ya wiz hakuna hata kwangu wiz 3020 siwez kufuta labda ufute zile tp's ndio na chanel zitaondoka
 
kwa msaada 2 kaka japo waweza kukusaidia,tumia solid dish(dish ya bati) ya futi 8 Eurostar ni nzuri zaidi na utumie prime focus ku band ya Fuji ya high gain,na hawa jamaa wapo 25'E,karibu kabisa au ni sawa na badr 26'E,kama itasumbua jaribuni kutafuta kuanzia hata saa 11 jioni, tumia 11604 H 27500 dvb mpeg 2,11084 H 27500 dvb-s2 mpeg4 hd,ila kaka hapo kuna vitu viwili,kwanza kuna kupata signal ya hiyo bein sport yenyewe,pili unapata signal lakini decoder yako inashindwa kuwasiliana na sever zao,je wewe kipi kinakusumbua hapo?alafu unakaa maeneo gani kaka hapa dar?
 
mimi nipo dar.madish yapo mburahati na mabibo. tunayo madish ya 8ft solid ya ku na c band.
 
ok kaka,ila lnb aina hiyo ya nliyokutajia ya fuji prime focus high gain ku band umewahi kutumia kaka?mburahati sehemu gani au hapa mkono wa kulia kama waelekea mabibo kwa njia ya kigogo baada ya kupita njia panda ya mbrahati au?na mabibo ni sehemu gani kaka,maana mi nakaa mabibo,twaeza kushauriana au kukutana wk end maana mafundi mkikutana hapaharibiki jambo kaka
 
hiyo lnb ya fuji stargold tumeitumia. invacom lnb na nyingine tumezitumia pia. ww umefanikiwa kuipata hiyo satelite ilipo bein sport?
 
DUH! tokea ile siku niliyo post kuhusuMGM CHANNELILIYOPO eutalsat 10a siku ya tatu wakatoa,kwa sasa hawapotena pale:flame:
 
Astra 2f imenitoa jasho kuipata nipo Arusha natumia dish la ft6 ku babd ya stargold ya fuji msaada please kwa wajuzi wa JF
 
Back
Top Bottom