Mkuu naomba kujua kwanini Holywood wanapandikiza hiyo fikshen, kunafaida gani kwao kupandikiza uongo?
Faida ni nyingi tu wanazopata.
kubwa kabisa ni kuuza hizi Movie na Drama zao. na walengwa ni sisi wote.
pili kuweza kukuza hizo Cults zao km Freemason na kuongeza utajiri haramu.
Tatu Kuwaweka raia wa kawaida ktk hali tegemezi, Yaani ukiweza kuteka akili za watu kwa kuwatabiria yanayokuja una uwezo wa kuwapeleka unavyotaka wewe.
Na bahati mbaya waliotekwa na hizi Imani ni wengi sana kuliko wale ambao bado wanajitambua. kwa hio hii ni biashara kubwa sana kwa hawa watu.
umeshawahi kusikia kitu kinachoitwa Fortune Tellers"? basi hio ni biashara ingine kubwa mno.
Wapiga Ramli wamejaa sana Ulaya.
kila gazeti wamo na siku hizi hapa nilipo wana Tv station yao.
kazi kuibia watu tu
hapa tunaongelea Multi billion dollars Industry. Hawa watu wanafanya kazi na mashetani. believe it or Not lkn Juu ya kufanya hivyo 99% ni UONGO MTUPU.
Kaa mbali kabisa na imani hizi. utafilisika na hakuna utakachopata zaidi ya kujenga uadui na watu wako wa karibu.
Muamini Mungu Mkuu aliyeumba watu na majinni na vilivyomo mbinguni na ardhini hutopata tabu.