Ulimwengu wa 3D na 4D

Ulimwengu wa 3D na 4D

kiongozi hakuna kitu kama hii.
sema "Meyiii" all day long hakuna kitakacho kukuta.
Hizi ni imani potofu. Na imani husababisha Brain ku react. ukiamini Nazi iliotupwa njia panda inadhuru na ukaikanyaga au kuiruka huenda ukadhurika Psychologically lkn kama huamini hii kitu hata wakikuwekea nazi Lori zima hakuna kitakachokukuta.

Imani ina athari kubwa sana ktk Ubongo.
na Ubongo ndio inayo control mwili wako wote. ukiathirika basi kila kiungo kinaathirika.

kuna watu through imani tu wanaweza kupona maradhi mengi kwa kunywa maji ya kawaida tu. kikubwa waaminishwe kuwa yale maji ni dawa KUU yenye kuponyesha hicho wanacho ugua.

hahahaaa Meyi the whole day,duh!
 
Hehehe alafu sasa hivi una third eye?
Nakushauri ukamuone daktari wa magonjwa ya akili aliyekaribu na eneo lako.
hakuna faida kuwatolea kashfa wenye imani hizi.
huyo ndugu huenda akawa ni mmoja wa wahanga wa utapeli wa hawa wanaojiita viona mbali (waganga wa kienyeji)
kuna watu wanashirikiana na Majini kupotosha watu lkn Juu ya kufanya hivyo Abadan hawawezi kuwa na uwezo wa kuona yaliojificha au Yajayo.
hao majini ni Viumbe kama mimi na wewe japo kuwa wamepewa baadhi ya uwezo ambavyo sisi hatuna na sisi tuna baadhi ya uwezo ambao majini hawana.

lkn HAKUNA KIUMBE YYT Ana uwezo wa Kuona yanayokuja au yaliojificha.
huo ndio ukweli na Kama yupo yyt anaweza kufanya hivyo aje hapa anambie Mimi nina umri gani na nimeoa au bado na nina watoto au sina watoto. akifanya hivyo Mimi ntaimba "Meyiii Meyiii wiki mbili bila kupumzika.

Very simple.
 
Wiki mbili zitakuhusu subiri.
 
Wiki mbili zitakuhusu subiri.
niitieni yule mshana J
yeye si ndio anadanganya watu humu kuwa kuna binaadamu ana uwezo wa kuona kesho?

mengine huenda akasema namuonea.
Sasa aje anambie umri wangu tu. halafu ntajirekodi naimba nyimbo yyt anayotaka yeye wiki mbili mfululizo. Iwe meyiii au mayoooo! (kisukuma).
 
Heshima kwako mkuu .
 
kabla sijaanza hilo zoezi naomba unieleze maana ya neno MEYIIIII alafu uniambie kwann nilitumie hilo na c jina langu???
 
Unapenda ku jibu nusu nusu ili uulizwe au...si ueleze kitu umalize
Najua uzembe wa wabongo kusoma zaidi ya haya 3 hawaambulii kitu. Niko nao kwa zaidi ya miaka 40;
JIbu langu japo ni kwa ufupi lakini liko wazi kabisa. Ina maana wewe hujui macho yako yanapeleka taarifa wapi?
 
Sisemi kuwa ina madhara yoyote.ila nataka nijue huyoo meyiii meyiii ni nani ktk umimwengu huuu?,!! Na ana mamlaka yapi ktk ulimwengu huu mpk jina lake litumike kufungua mlango wa jicho la tatu?!!
Huyo siyo mtu!
HIvi wanaosema haleluya wanajua maana yake?
 
Najua uzembe wa wabongo kusoma zaidi ya haya 3 hawaambulii kitu. Niko nao kwa zaidi ya miaka 40;
JIbu langu japo ni kwa ufupi lakini liko wazi kabisa. Ina maana wewe hujui macho yako yanapeleka taarifa wapi?
Macho yanaepeleka taarifa kwenye occipatal lobe via optic nerve
 
Baada ya hapo ni kipi kinakupa tafsiri ya kile ulichokiona?
Unajua mambo mengine hayahitaji kuumiza sana kichwa! Hicho kinachokupa tafsiri uliwahi kukiona au uliambiwa tu!
 
Unajua mambo mengine hayahitaji kuumiza sana kichwa! Hicho kinachokupa tafsiri uliwahi kukiona au uliambiwa tu![/QUOTE
Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...
Kwa hiyo unataka kusema..kujua jinsi center za ubongo zinavyo fanya interpretation(percepation) kuna siri kubwa nyuma yake?
 
Baada ya hapo ni kipi kinakupa tafsiri ya kile ulichokiona?
Unajua mambo mengine hayahitaji kuumiza sana kichwa! Hicho kinachokupa tafsiri uliwahi kukiona au uliambiwa tu!
Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...
Kwa hiyo unataka kusema..kujua jinsi center za ubongo zinavyo fanya interpretation(percepation) kuna siri kubwa nyuma yake?
 
Nenda kwa mganga yyt hali ya kuwa una mke na watoto kisha kamwambie unatafuta watoto miaka mingi sana unataka akutazamie tatizo ni nini kama atagundua wewe una watoto.
Ngoja siku moja nijaribu kwa mganga yeyote yule
 
Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...
Kwa hiyo unataka kusema..kujua jinsi center za ubongo zinavyo fanya interpretation(percepation) kuna siri kubwa nyuma yake?
Kumbe jibu unalo! Ipo siri kubwa sana tena sana!
Iweje ni nikuone wa nini (kwa mapokeo yangu) na mwingine awaze atakupata lini (kwa mapokeo yake)??? Siri hii kubwa ndo sasa tunahitaji walau watu waanze kufuatilia kinachosababisha.
 
hakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.

Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.

Ni kweli asee, ulimwenguni hakuna mtu anayejua chochote, mambo mengi ni nadharia tu. tunaishi kwa mashaka tu, hatujui kitu kwa hakika.
 
Ngoja siku moja nijaribu kwa mganga yeyote yule
Katika dunia hii kuna watumishi wa aina tatu:-
1. Watumishi wa watu
2. Watumishi wa Shetani
3. Watumishi wa Mungu
Utawajuaje? kwa matendo yao ... hao unaowaita waganga wengine ni matapeli tu wasaka pesa ... watumishi wa watu hao.
Watumishi wa shetani wana nguvu za ajabu na wanaweza kukuumbua kabisa hadi wakakuathiri
Watumishi wa Mungu - hawa watakusaidia tu kwa sababu kazi waliyonayo kubwa ni kusaidia watu!
 
Ni kweli asee, ulimwenguni hakuna mtu anayejua chochote, mambo mengi ni nadharia tu. tunaishi kwa mashaka tu, hatujui kitu kwa hakika.
Sema unaishi kwa mashaka! wapo wanaojua mkuu usiliongelee hili kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom