Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,892
Kwani Magufuli ana nguvu gani ambazo wengine hatuna?magufuli ana nguvu sana na ameathiri na kuwaumbua wengi.
tunamuweka kwenye wafuasi gani mkuu?
Kwani Magufuli ana nguvu gani ambazo wengine hatuna?magufuli ana nguvu sana na ameathiri na kuwaumbua wengi.
tunamuweka kwenye wafuasi gani mkuu?
ya kukufunga wewe bila kosa na Ukileta ubishi kukunyamazisha jumla km wale wapinzani waliopotea na walioko jela.Kwani Magufuli ana nguvu gani ambazo wengine hatuna?
Naona hili swali linaulizwa sana, kwa kifupi neno "MEYIIIII" linabeba nafasi ya upumuaji mzuri ili kufikia matokeo mazuri.Hujajibu swali langu mkuu, ni bora utuambie maana ya maneno hayo kwanza kabla ya kuyatumia. Mimi naamini hayo maneno yana maana, siyo bure tu, na kama hayana maana basi inawezekana kabisa hilo likawa "jina" la kitu fulani au kiumbe fulani. Kama hujui maana yake basi usiwaambie watu wayatumie, inaweza kuwa hatari zaidi kuliko unavyofikiri wewe.
Fahamu kwamba ulimwengu wa "roho" umegawanyika mara mbili, kuna "Roho njema", na roho "wachafu", hizi roho chafu ni kama sumu, na sumu haijaribiwi kwa kuionja, utakufa. Itakuwa vipi kama hayo maneno(MEYIII) ni jina la roho mchafu na huyo roho akawaingia hao watakaomuita???
Asante kwa mrejesho,mana ndo nilikua najipanga nianzeenimefanya hio meyi meyi nikaona kama napaa..nikaogopa ikabidi nikemee,ndio nimerudi kwenye hali ya kawaida..😀😀😀😀😀😀😀😀😎😎

Yaliyotokea Zimbwabwe kwa Mugabe yakimtokea na Mugufuli ndio utagundua huyo Magufuli hana nguvu yeyote,kama ambavyo sasa alivyo Mugabe.ya kukufunga wewe bila kosa na Ukileta ubishi kukunyamazisha jumla km wale wapinzani waliopotea na walioko jela.
We nguvu hio unayo?
unaruhusiwa kuwa na ndoto za namna hii.Yaliyotokea Zimbwabwe kwa Mugabe yakimtokea na Mugufuli ndio utagundua huyo Magufuli hana nguvu yeyote,kama ambavyo sasa alivyo Mugabe.
Mie sizungumzii hayo bali nazungumzia kuhusu kauli yako kwamba Magufuli ana nguvu ambazo sie hatuna.unaruhusiwa kuwa na ndoto za namna hii.
kitaalamu zinapunguza stress lkn kumbuka Mugabe alitawala Zimbabwe tokea ipate uhuru. Magufuli kaingia juzi tu na bado anapiga kazi nzuri tu japo ana mabaya kayafanya.
Tusitoke nje ya mada.
Sema "Meyiiii Meyiiii" huenda ukaona yanayokuja 2020.!
nadhani nimeshakujibu .Mie sizungumzii hayo bali nazungumzia kuhusu kauli yako kwamba Magufuli ana nguvu ambazo sie hatuna.
Ndio maana nikatoa mfano wa Mugabe kuonesha kuwa hata huyo Magu hana nguvu,leo hii jeshi likiamua kufanya kama Zimbwabwe ndio utagundua hata huyo Magu hana nguvu yeyote.nadhani nimeshakujibu .
wewe na mimi hatuna nguvu alizonazo Magu.
pure and simple.
watu wanajenga hoja sio viroja....hao viumbe tusiowaona kama ulivyosema eg,majini na malaika _umejuaje(una uhakika gani ) kama wapo na tunaishi nao...kama sio ujuha wako wa kuamini mambo ya kuokoteza huko kwenye semina elekezi kanisani na miskitini.
....acha kujifanya unajua mambo wewe tu na kuona wenzako hawajui..pathetic
suala sio Mimi nani wa kulipinga.hizo movie ni wewe umezitazama na ndizo zilizokufanya ukawa na uelewa huo....
kama umefahamu jambo kupitia movie haimaanishi kila binadamu basi yupo kama wewe anatazama hizo filamu.
bahati mbaya siyo mpenzi wa filamu na kupitia wewe nimejua kumbe 4d inaelezewa pia katika filamu.
NI JAMBO JEMA PIA ITASAIDIA SANA KATIKA REINFORCEMENT YA TOPIC NGUMU KAMA QUANTUM PHYSICS....
UKIONA JAMBO LOLOTE LINAKUBALIWA NA WANA TAALUMA WABOBEVU WEWE NI NANI HATA UTUKATALIE KWA KUTUMIA FILAMU ULIZOZITAZAMA MWENYEWE FOR YOUR ENJOYMENT?
UKIICHAMBUA CONCEPT YA DIMENSIONS KWA KUSIMAMIA MITAZAMO YA IMAN LAZIMA UTAJIKUTA UNACHANGANYA MADESA.....
4D IS BEYOND YOUR REALITY

Jaribu kusearch kwenye googleMEYIIII... inamaana gani na kwanini itumike kufungua jicho la tatu?
suala sio Mimi nani wa kulipinga.
muhimu ni wewe na hao so called Waatalamu kutuletea MTU MMOJA TU mwenye uwezo wa kuona hio 4D.
Unabwabwaja tu bila nadharia?
Mention ONE, Just ONE So called Physician mwenye Jicho la 3 au la 4.
The answer is NO ONE .
Wewe ndio umeniomba nikutajie Majina ya Movies zinazo onyesha hizi FICTION za 4 Dimension, Nimekutajia ghafla unaniattack kwa kusema Ati Mimi ndio nafuata hizo Movies
I watch movies for entertainment only. and nothing more. na nakushauri na wewe uachane na hizi Fictions au utaharibikiwa vingi ktk maisha yako matupu yaliobaki.
Trust me on this one. Mr Quantum physicist.![]()
See !SAWA MKUU NIMEKUELEWA.
tunachotofautiana ni source of knowledge tu....
Umefahamu dimensions kupitia film....
Wakati mimi nimefahamu geometry dimensions kupitia academic fields...
Tunachokifanya hapa ni ubishi usio na tija...
Nilitegemea sana ungechallenge kwa supportive arguments ambapo kila mmoja angeambulia chochote kitu....
KWA KUONGEZA UFAHAMU WAKO ZAIDI KUHUSU 4TH DIMENSION KUNA HII ARTICLE MOJA KATI YA MILLIONS ILIYOANDALIWA NA Andrew J. Hanson kutoka chuo kikuu cha
Indiana University Bloomington akishirikiana na Xiaoqi Yan na Chi-Wing Fu wa Nanyang Technological University, Singapore. Moja ya faida ya knowlegde ya 4th dimension ni katika computer science ambapo kampuni ya google wapo katika uchunguzi wa jinsi ya kutengeneza quantum processors.
KHATAN HILI NI SUALA LA KAWAIDA KABISA SIELEWI UNAPOCHANGANYIKIWA NI WAPI?
NA UTAKE USITAKE ULIMWENGU WA SCIENCE NDO UNAHAMIA HUKO...
KWA SASA KILA CURRICULUM INAFUNDISHA HII COURSE...
NIPO TANZANIA NA NIMEISOMA DARASANI.
KICHWA CHOCHOTE KITAKACHOPITA COLLEGE OF NATURAL AND MATHEMATICAL SCIENCE PALE UDOM....
ATAKUSHANGAA UKIMWAMBIA KUWA COURSE ZA QUANTUM PHYSICS NA GEOMETRY DIMENSION NI FICTIONSWAKATI NI MAMBO YAKO KWENYE FORMULA NDOGO NDOGO KAMA HIZI....
*(2x+1)^4 gives you the dimentions of a Hyper-Cube. * ds^2=dx1^2 + dx2^2 + dx3^2 + dx4^2 for a point in 4D space.
NINGEKUWA NIMEJUA 4D KUPITIA MOVIE KAMA WEWE NINGEKUAMINI KUWA NI FICTION...LAKINI KAMA NI DARASAN AISE ACHA UTANI KABISA WALE MAPROFESSORS SIYO WAJINGA KIASI HICHO.
BTW NASHUKURU KWA FILAMU ZAKO NITAZITAFUTA NA NITAZITAZAMA KWA KUONGEZA UFAHAMU ZAIDI KUHUSIANA NA 4D. NITA SHARE NA WENZANGU PIA...
SawaJaribu kusearch kwenye google