Mkuu
Tutor B kuna zaidi ya fourth dimension unayoizungumzia,
==>Kingine huwezi ukafungua 3rd eye kwa shortcut ya dakika 6 ndani ya wiki 2 maana katika meditation hakuna quick fix kwani ni aina ya maombi pia.
==> unapozungumzia 3rd eye opening ni mpaka uwe umepitia kuanzia kwenye chakra za mwanzo ambazo zipo kwenye lower vibration..
==>unahitaj uangalizi wa mwalimu ktk spiritual journey yako.
RISK:
- Unaweza kupatwa na kuumwa kichwa kwa muda mrefu kwani energy itakua ina flow bila kuwa controlled
- unaweza kuungua eneo la ngozi ya katikati ya macho
- kama haufahamu matumizi ya sandalwood kwa hapa na bila yogi/guru sijui itakuaje
3rd eye=pineal gland ambayo iko very sensitive kwa fluoride mwishowe hormones kama serotonin haziwi released ...
Go back to
Mshanajr and finish ur H/W.