Naomba muwe mnanitag kwa as SDG kwenye zile nyuzi zetu,What a honour? Shukraan mkuu![]()
Big up Mkuu...Nahisi hata hili swala la sumu huko Syria, mmarekani anahusika ili kuitengenezea image mbaya Syria na mshiriki wake Russia, kwani sizani Asad anaweza akawamlisha askari wake watumie silaha za sumu kwa wananchi wake anaowaongoza.
Lazima kuna mkono wao mkuu,Mmarekani ni mshenzi sana.Nahisi hata hili swala la sumu huko Syria, mmarekani anahusika ili kuitengenezea image mbaya Syria na mshiriki wake Russia, kwani sizani Asad anaweza akawamlisha askari wake watumie silaha za sumu kwa wananchi wake anaowaongoza.
Nifah Naomba nikuoe tafadhali, umeugusa mtima wa moyo wangu.[/QUOTE
Wewe haya bana mfuate pale alipo uje nikupeleke