Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ushauri:😱i baadhi ya wadau humu acheni ushamba..limtu lina-Quote stori nzima alaf haandiki vitu vya maana chini...yani page inakuwa ndefu kchizi...Kwann usipost direct tuh..!??[emoji51][emoji51]
Huoni kuna mmoja tumemuomba kistaarab tu kajibu pumba? Watu hatufanani mkuu
 
mzee embu uje
CIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
uichambue vizuri hii kitu
 
Nifah na the bold hamnaa story nyingine za intelligence maana nipo interest sana na hizi story hata km kuna vitabu niambie plz
 
Nifah na the bold hamnaa story nyingine za intelligence maana nipo interest sana na hizi story hata km kuna vitabu niambie plz
Story zipo kila siku ktk group WhatsApp na huku walau kila mwezi mmoja tunaweka makala moja au zaidi.
Kitabu bado mkuu,ila kipo mbioni.
 
Back
Top Bottom