Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

mkuu kama umegundua kiini kikubwa na driving force ya haya mashirika ya kijasusi ni uzalendo. Mwafrica akiahidiwa cheo kwa njia ya kumrubuni mwingine basi yeye hana hiana. Wazungu sio kwamba wanaakili nyingi sana hamna kitu. Ujinga ni wetu sisi.
 
Ndivyo sheria zao zinavyosema mkuu.
mbinu za kijasusi ni kama kitendawili na zinapo julikana zina tafuta mbinu mpya.ili watu kuchezewa karata tatu
 
CIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
mkuu kwema? kama unayo fanya mpango basi mi mnazi kweli wa hizi habar
 
Back
Top Bottom