Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,705
Safi Sana mdada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimba ni majaaliwa mkuu,ikipatikana basi ni jambo la kheri...the bold usimpe mimba mapema huyu bibie ataanza kukwambia uwe unaandika story za ukuaji wa mimba yake tu mambo makubwa kama haya hatutayapata[emoji23][emoji23]
natania lakini fact zimeletwa kisomi na sisi akina bashite tunaokota vitu hapa
Asante sana Cheupe kwa makala hii murua..
Japo nimesaidia kuifanikisha, lakini ni akili yako na uandishi wako mwenyewe 85% imefanikisha hili...
Naona unaiva sasa kuwa "jasusi mbobezi" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You make me proud na natembea kifua mbele.. Endelea kushusha nondo zaidi wifey.. [emoji4]
Duuh,ndo hivyo aiseee .wifi yako kesharudi kwao.Hahahaaaaa mkuu kila nikikuona nakumbuka dada kutoka Koromije [emoji23]