comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,951
Hahahaaaaa ndio hivyo mkuu.
Mmh angehama nchi
Hahahaaaaa ndio hivyo mkuu.
Umewaza mbali sana mkuukwa uzi km huu...sishangai yanayotokes south korea km si mmarekani baada ya Samsung kua namba moja kwenye uuzaji wa bidhaa zake na kuikimbiza vibaya marekani...toleo la 7 cm zilivyokua zinaripuka zenyewe na machafuko ya kisiasa yanayotokea sasa

kwa uzi km huu...sishangai yanayotokes south korea km si mmarekani baada ya Samsung kua namba moja kwenye uuzaji wa bidhaa zake na kuikimbiza vibaya marekani...toleo la 7 cm zilivyokua zinaripuka zenyewe
na machafuko ya kisiasa
yanayotokea sasa
kwa uzi km huu...sishangai yanayotokes south korea km si mmarekani baada ya Samsung kua namba moja kwenye uuzaji wa bidhaa zake na kuikimbiza vibaya marekani...toleo la 7 cm zilivyokua zinaripuka zenyewe na machafuko ya kisiasa
yanayotokea sasa
Bila shaka Bold atashusha mzigo mwingine baada ya ule wa vikongwe.
Mkuu unahisi Marekani wamehusika vip hapo??
Mkuu unahisi Marekani wamehusika vip hapo??
Umewaza mbali sana mkuu![]()
![]()
Thanks Nifah...but hongera kwa uzi huu mtamu...km unamuda tafuta series moja inaitwa "The American" hii ni ya vita baridi na nyingine ni "Homelan"...utafurahia sn hizo series...ila hio ya kwanza ni balaa zaidi.
Poapoa mkuu,shukraan.Thanks Nifah...but hongera kwa uzi huu mtamu...km unamuda tafuta series moja inaitwa "The American" hii ni ya vita baridi na nyingine ni "Homelan"...utafurahia sn hizo series...ila hio ya kwanza ni balaa zaidi.
Wewe umepata wapi muda wa kusoma makala yote hii?
mkuu waweza toa thread kuhusu hiliCIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
kama kwann ucomment sasa? tumia akil bwanaam deeply sorry sijasoma ata kimoja maana hainiongezei kitu ata kimoja katika ma life saaaana ni wasted of time
ila kama wewe uko interested its fine ya kaisari muachie kaisari
Kuandaa mzigo kama huu ni kazi nzito sana,yaweza chukua takribani mwezi mzima.
Nafikiri Bold ana mizigo mingine katika 'stock' yake.