Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Ndio maana Magu anasema tumuombee na nafurahi kuona vyombo vya ulinzi na usalama vinawajibika kwa Serikali iliyopo madarakani na sio kusikiliza Asasi za kiraia,Media na Chadema wanataka nini.Maana hawa ndio rahisi kutumiwa sababu ya uchu wa madaraka natamani siku moja niandike mada juu ya uzalendo wa nchi na namna ya kuepuka watu kama hawa ila napenda sana kusoma kuliko kuandika.
Ubarikiwe mleta uzi natumai kuanzia sasa utaisapoti Serikali iliyopo madarakani na kuachana na maneno ya wanasiasa uchwara.
Mkuu, haa mym,
Umeongea jambo kubwa sana sema akili kubwa tumekuelewa.
Ni Kweli, nami naandaa hasa juu ya kinachoendelea hapo Bongoland kwa vijana kujitoa ufahamu na kuona kuwa vyama vyao vya siasa ndiyo utaifa badala ya nchi yetu kuwa utaifa wao.
Pamoja sana.
Shusha nondo mkuu.