Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA

Dunia ni eneo la kustaajabisha sana lililojaa matukio mengi ya ajabu sana na ya kusikitisha na kustaajabisha sana....

Lakini binadamu ni kiumbe wa ajabu kabisa kupata kuwepo na ninapenda kuirejea kauli ya rafiki yangu mmoja aliyepata kusema kuwa "Mungu ndiye pekee anayemuwezea binadamu". Huyu rafiki yangu alizungumza hivi na wakati anazungumza sikumuelewa lakini baadaye nilielewa alichokuwa anakimaanisha na ni halisi....

Maisha yanafanywa kuwa na thamani ya ajabu kabisa na wakati huo maisha haya ni ya miaka 80 na ikizidi sana ni 100 tu. Inasikitisha sana....
 
Nimependa story hii pia inatufundi kuona nijinsi gani wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao hasa wamalekani sisi huku njaa sana hadi tuko ladhi kusaliti nchi zetu kwasababu ya njaa
Bold: Ni nchi gani hiyo?

The rest: Umeandika kitu kizuri lakini makosa ya uandishi yameharibu kabisa ulichoandika.....
 
Pia habari hii iwaonyeshe wale ndugu zetu Watanzania ambao kila habari mbaya juu ya Tanzania wanaidaka na kuiendeleza. Tafiti zingine zinapikwa ili kupandikiza kitu mioyoni na kwenye fikra za Watanzania. Umewafungua macho wanaopenda kufunguliwa juu ya "propaganda" zinazofanywa na nchi kubwa dhidi ya nchi na viongozi wa nchi changa zinazotaka/wanaotaka kujinasua kutoka katika makucha ya "wakubwa" wa dunia hii. Nimekumbuka sana hapa jitihada za viongozi wetu na jinsi wanavyoshambuliwa wakati mwingine bila sababu ya maana na maneno yasiyofaa katika mitandao ya habari. Tuwe macho.
 
Asante sana Cheupe kwa makala hii murua..

Japo nimesaidia kuifanikisha, lakini ni akili yako na uandishi wako mwenyewe 85% imefanikisha hili...

Naona unaiva sasa kuwa "jasusi mbobezi"


You make me proud na natembea kifua mbele.. Endelea kushusha nondo zaidi wifey..
 
Me hata siwaelewagi alafu wana comment tumistari tuwili tu
 
Back
Top Bottom