Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
- Thread starter
- #61
Watu na fani zao Cia sio watu wa mchezo makala kama haya yanakupa idea how deep they operate kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi za ku install security equipment kwenye nyumba za watu mitaa ya Woodbrige Va, arlington Va, alexandria Virginia, nikakutana na jamaa mmoja ambaye alikuwa retired Cia agent alinipa story nyingi na mambo aliyofanya matata sana kidogo nikatae kuondoka nisikilize story ..... good job dada Nifah
Asante kwa pongezi bro
Siku moja jitahidi basi ushee nasi hata stori chache tu! Nimetamani kujua aisee ulichosimuliwa

