Sometimes naona kama DOJ ianasimamia vyombo vyote... isipokuwa CIA... japokuwa kisheria nao wako chini ya DOJ.. lakin hawa jamaa miziz yao iko deep sanaCIA ineteresting story yao ni kifo cha Kennedy
Kennedy aligundua CIA ni kama taifa ndani ya taifa
wanajiamulia mambo mengine wenyewe
akaapa kuivunja...akauawa wiki ile ile aliyoapa kuivunja....
Mkuu kwa mujibu wa The bold kuna makala nimewahi kusoma huko kwenye group... CIA haiko chini ya DOJ au Department yoyote ya Executive Branch... Inafanya kazi as a civilian agencySometimes naona kama DOJ ianasimamia vyombo vyote... isipokuwa CIA... japokuwa kisheria nao wako chini ya DOJ.. lakin hawa jamaa miziz yao iko deep sana
Nina mpango wa kumzunguka the bold aisee...moyo wako uwe mwepesiNdio nshaandika ivo![]()
Tuombee kheri.. Soon ndoa
Sasa umequote story fuso umecomment bajaj umeniuzi sana aisee.Stori nzuri sana hii
Pale pazuri tu...watu wanajenga..je unahitaji Kiwanja.Kuna swali Bold huwa anawauliza watu wanaonisumbuaga...
Namnukuu; "unapajua mabwepande?? Mto Ruvu??"