Tayari nimekuongeza kwenye taglist..Nifah, madame usiache 'kunitag' kwenye nyuzi zako zinazofuata, hongera umeanza na kiwango kizuri, taratibu mtu mzima The Bold anaanza kukuachia mikoba, Congrats.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Jamani si nimesema Bold amenisaidia kuipangilia na kujua facts muhimu kuhusu hiki Lisa..
Safi sana, mmeshaanza kufanana, vizuri sana.Tayari nimekuongeza kwenye taglist..
Yeaaap! ananijenga nifuate nyayo zake [emoji123] [emoji123]