Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
- Thread starter
- #401
HapinduiUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
HapinduiUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
Hahaha
We si utaonaa




halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoni
Nawazoom tu mmUpooooh!!
Tuko pamoja ndugu yangusawa ngoj tuzubaezubae humu ndan kidog
Ebu kuja hapa au wewe ndio tulikuwa tunachat DM
Hapo wewe tuHahhahah sijui zawadi gani nitaambiwa
SawaaaaUtaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
haahha ngoja nimwambie shemej kwanza
Ahadi ni deni, toa zawad ya watu hahahahah


nitatoa jamani mm sijabisha zawadi ni chochote tu
aisee nilikosa raha kabisaaaa eti nikaanza kumuuliza Smart911 love hauna tunamba twa huyu yule yule kule na naniliuu nianze kuchat nao??? you know humu Kuna members wanaifanya siku yako kila mmoja kidizain yake ilimradi unajikuta unaburudika tu na roho yako
halafu leo nikuhogoa yaan ungekuwa unakunywaga pombe ningesema unaenda kuninywea unipe la moyoni

kwema, habari yako!Haha..kwema lakini?
Ila nilijua tuu kuna shambulio kwa hii forum yetu,
Hata wakati wa uchaguzi baada ya kupiga kura tunasubiri matokeo ya hapa na pale lilitokea tena shambulio