Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
pamba.fu zao kabisa,Sana sanaa...halafu ni mambo ambayo yako planned kabisa
Bora wangezima mitandao mingine FB, IG uko
pamba.fu zao kabisa,Sana sanaa...halafu ni mambo ambayo yako planned kabisa
Nilijua simu yangu imepotza network
Utaunguza bana huku urudi badae ukimaliza kupika
hawawezi kabisa yaanHaha ila wanamuogopa,sasa washajua unazo wanakujaa
Pole sana Demiss
Nawapenda wote nimewamiss
Hata skujua kama kuna shambulio la Jf.
Niko ktk wakati mgumu sana naumwa .
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahhahah sijui zawadi gani nitaambiwaZawadi
Kwa kweli ingeendelea siku 4 bila jfYani kila baada ya dakika kadhaa mtu lazima uchungulie humu halafu unakuta hewa hahahaha
hahahah sitak kuongea sana dadHahaaaaa. Ila jf kiboko mdogo wangu.
Kumbee!!Hakuna shambulio lolote lile!...it was planned issue ili kuzuia kuhamasisha maandamano!

haahha ngoja nimwambie shemej kwanzaBasi nipe za hajara mie nilikuwa nazo zimepotea jana jamii forum ilivyopotea hahahahaha
Mngh! mngh! mngh!






ebu acha uchochezi nadaiwa zawadi sababu ya mguno wakoAsante dadanashukur mdog wangu kwa heshima yako
ebu acha uchochezi nadaiwa zawadi sababu ya mguno wako
sawa ngoj tuzubaezubae humu ndan kidogAsante dada