Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
- Thread starter
- #441
Upi huoo!!
Kufunguka nao ni ulevi kumbee
kumbe ulimaanisha kufunguka..mimi nilidhani umemaanisha kunywa kidogo ndio ufunguke

Upi huoo!!
Kufunguka nao ni ulevi kumbee
kumbe ulimaanisha kufunguka..mimi nilidhani umemaanisha kunywa kidogo ndio ufunguke

Sinywi kabisaaa mie! Labda maji au juice![]()
kumbe ulimaanisha kufunguka..mimi nilidhani umemaanisha kunywa kidogo ndio ufunguke
![]()
![]()
Vizur shemSinywi kabisaaa mie! Labda maji au juice
Duh swali gumu hili kwa upande wangu, swali la kumuuliza admin hiliVipi MBONA hakuna feedback ilihackiwa vipi na vipi kuhusu usalama wa users?
Ogoha kabisaaa aki!
Huwa sinywi pombe mie!! Ila nkitaka kutoa la moyoni huwa najilipua






nawaza tu ungekuwa unakunywa kama shunie nikuhogoa imihahahaYupo bizee na kazi,,yani boss wake ni kama jiwe,simu wanaacha reception![]()
Ahahhahah wewe ndio nani pale Putin auMmmh! Hapana dada![]()
Muungano wa mwaka huu hovyo tu sitaki hata hizo happy happy mm,Nzuri..Happy Muungano Day
Kwa upande wangu ndio hovyo kabisaaaaMuungano wa mwaka huu hovyo tu sitaki hata hizo happy happy mm,
Vip ww lkn umesheherekea vizuri
Hahahanawaza tu ungekuwa unakunywa kama shunie nikuhogoa imi
Haha 29 watang'oaNikajua mashabiki wa Simba wameingia humu wakang'oa viti hadi majukwaa
Pole sana....ila yamepitaa!Kwa upande wangu ndio hovyo kabisaaaa
Hahahahahahahahahahahahaahaaaaaaa.Hahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.
Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.
Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
Unaita wambea wenzio sio??Davet , ukhuty, Mlima simba Mwifwa njooni na nyie mseme mlichokumbana nacho sababu vile vilikuwa zaidi ya vituko jana. Lol