Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
updates ya maandamano ya polisi.ghafla nikajua tayari malaika kashashuka kufunga mtandao wa JF
 
Mi mwenyewe hii gemu nilikuwa naicheki huku nikiwa na mawazo kwamba jf ndo basi tena
Nilikua naifikiria sana Jf family, it's my second home. Watu wa humu ndani utadhani naishi nao nyumba moja.
 
Back
Top Bottom