Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahahahahaha hahahaha, aiseeeee jamii forum raha bwana asikwambie mtu






sanaaa
Hahahahahaha hahahaha, aiseeeee jamii forum raha bwana asikwambie mtu






sanaaaMuulize ule mguno wake sasanimekumiss ebu nipe mguno wako kuna mtu tunabishana sana yaani mpaka tumewekeana dau la zawadi
Hahahah wamemalizaHahaha
Kwani wamemaliza kudukua
Naguna tunini?lol
Mfyuuuuuuu zako
Haaaa...hadithia ndoto hiyoHadi nimemuota bujibuji
Aaah!! Hahah ndugu yangu unanichomea utambi sasa, sema mchumba mwenyewe anajua kua nipo fasta sana









Kuhusu mguno wako kila mtu anauandika anavyojua ebu andika hapa jamani tuone ni sawa
Hadi nimemuota bujibuji
Naguna tu
Najua mchumba jamani sasa mbona upo busy jf toka basi utaunguzaHujui kua napika?
Mngh!
Fatilia mgunokama nakuona
Sidhani kama wamemalizaHahahah wamemaliza
Wanakujaa mkuu..andaa nguo kabisa wanaleta povu la kutoshamie mpaka leo nadhani ni MACCM hayo yako responsible na kufungwa kwa mtandao wetu,maana habari za Mange zilikua live humu
Nilijuta kwanini sijatoa namba yangu at least niendelee kutongozw

Hahaaaaa. Lol.Mie kama nilifahamu hii kitu itatokea maana nyuzi za maandamano zilizidi humu. Ilipogoma kuchek page yao ya insta nikakuta maelezo ya tatizo.
Nilimiss likesss
Mwenyewe!Mfyuuuuuuu zako