Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Hujambo mpenzi....ulikua wapi?

Sijambo mpnz.......nilikuwepo sema nikawa naogopa usijeniacha......promise kama hutoniacha nikuletee maujuzi mapyaaaa!!!!!!!!!
 
Nakuja nikague kwanza....halafu kama mwalimu ni Kaizer basi talaka imekukumba....
Hold on.....unayatoa gugo au wapi.....



Baadhi gugo na mengine kuna mwalimu alijitolea kunifundisha.....
 
Last edited by a moderator:
shkamoo ODM....khe!kwani tunakariri mapenzi?hakuna ubunifu jamani!!!!kama nitauliza hivyo labda ninawish kwa nini sikukupata mapemaaaaaaaaa?otherwise thx will be my WORD


after all "THANKS" ni kauli mbiu ya wanawake wanaporidhika...lol
 
Shemeji...yaani 2011 unaiita enzi hizo? Hiyo si majuzi tu hapa

Ah shemeji kwa maisha haya yalojaa vimbwanga na vijanga hiyo 2011 inaonekana kama karne kwa kweli. Maana hukumbuki lipi lilianza na lini lilianza almuradi songombingo. Hivi kumbe ni juzi tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom