Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

ahahahahhahahhaha we nae!
hebu nipishe mie!
sasa unataka aende wakafundishe topic out of syllabus!?

Mwalimu haya makitu ya intaprenyuaship hayahitaji sana kufuata silabas ujue.
 
Uwiii, mwanafunzi mtukutu sana huyo.
Ananidanganya eti hapajui na wala hajawahi kufika huko

Mzima lakini Ticha?

Kaizer unabiiiiiisha! unabiisha niseme huwa unapitia mlango upi kuingia jukwaa la chini Kongosho usdangyike!huyo kila siku kabla jhjaingia darasani huwa anaoma excuse mi ticha can I goo out!
sasa kwa kuwa mimi ni mwalimu bora na si bora mwalimu nikiona anachelewa kurudi darasani ndo huwa namfata!
 
Kuchapwa kwako ni copyrighted....

Ulikuwa wapi siku zote mpaka tukachakachua thread yako?...........Kamwe RR hawezi ruhusu mtu mwingine anichape kwenye ma------!!!!!!!!!!!!!

Sio kila anayeshika chaki na bakora ni mwalimu.....wengine ni mabazazi.....
Na hakika si Asprin wala Kaizer ni mwalimu...
Na kwa mtindo nakufungulia twisheni senta ya nyumbani....

Mhhhh ngoja nimwombe ruhusa RR akikubali nakuja fastaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu haya makitu ya intaprenyuaship hayahitaji sana kufuata silabas ujue.

ahahhahahahhahaha shuleni huwa kuna curriculum hiz..... mbili!
major na extra curriculum
saaasa hii extra bana akiifnza huko siku anayorudi darasani kumbrainwash tena iakuwa kazi ujue!
ahhhahahah walmu wa twisheni ni direct kweny pepa soving
oh!
 
Uwiii, mwanafunzi mtukutu sana huyo.
Ananidanganya eti hapajui na wala hajawahi kufika huko

Mzima lakini Ticha?

ahahhahahahha huwa anapatisipate kwenye grupu diskasheni huyoooooo ehehehhehehhe!

mi mzima mamii!
mnoo!
 
Kuchapwa kwako ni copyrighted....

Sio kila anayeshika chaki na bakora ni mwalimu.....wengine ni mabazazi.....
Na hakika si Asprin wala Kaizer ni mwalimu...
Na kwa mtindo nakufungulia twisheni senta ya nyumbani....

Noted with thanks mpnz!!!!!!!!!!!!
 
Kuchapwa kwako ni copyrighted....

Sio kila anayeshika chaki na bakora ni mwalimu.....wengine ni mabazazi.....
Na hakika si Asprin wala Kaizer ni mwalimu...
Na kwa mtindo nakufungulia twisheni senta ya nyumbani....

Naweza nisiwe mwalimu, bali mkufunzi.
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahahhahaha shuleni huwa kuna curriculum hiz..... mbili!
major na extra curriculum
saaasa hii extra bana akiifnza huko siku anayorudi darasani kumbrainwash tena iakuwa kazi ujue!
ahhhahahah walmu wa twisheni ni direct kweny pepa soving
oh!

Hakuna extra extra karikyulam espeshale kwa wanafunzi wepesi wa kuelewa kama haka kanakoelekea kwenye mikono michafu ya RR ?
 
Last edited by a moderator:
Wala sielekei....nishafika kitambo.....na kuketi nishaketi lol!!!!!!!

Hahaha kwa huyo kabaila, ukiketi unakua bado hujafika. Si wote ni wema kama mimi nilivo mwema.
 
Kwa nyuma uko na zipu....labda ujaribu kucheki kwa hapo.....au hauna password?

Hii thread ikihamishiwa jukwaa la chini, wewe na mhuni mwenzio mtakuwa na kesi ya kujibu walah. Khaa!!!
 
Hii thread ikihamishiwa jukwaa la chini, wewe na mhuni mwenzio mtakuwa na kesi ya kujibu walah. Khaa!!!

Dah mbona hasira hivyo...........ni hiyo zipu tu au kuna kingine nyuma ya pazia!!!!!!!!!

btw hata ikihamishiwa huko chini hakuna shida .....mie na mpnz wangu tuko na password tutaifuata tu!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom