Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Haha bado kipo, agenda tu ndo zimebadilika lol,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndo nini hadi unaenda hanemuni hatupeani taarifa 'shemeji' lol
loooool hahahahaah, hapo red hapo! lol,.
shemeji, hapo honeymoon waswahili ukitoa taarifa mara wanaloga bana, nimeamua niondoke kibubu bubu tu.
 
loooool hahahahaah, hapo red hapo! lol,.
shemeji, hapo honeymoon waswahili ukitoa taarifa mara wanaloga bana, nimeamua niondoke kibubu bubu tu.

Sawa 'shemeji' nimekuelewa kabisa .............so na sie unatushauri hivyo??......tusiage? lol
We Mbu asa mbona umeniacha naghani peke yangu!! au ndo yale yale.....hujapata unahangaika na mashairi unajifunza, ukipata ndo inakuwa mazoea?
 
hehehe halaf hii 'shemeji' ilowekewa vikoma juu hii lol?, nyinyi inabidi muage kwa maslahi ya kondoo wa MMU, MMU bila MJ1 ni sawa na serikali bila bunge. Fact!
 
Too fast! nimetoka dakika 10 tu, nakuta vigelegele. hapa nani shemeji angu sasa, mbu au mj1.
 
Haya naondoa vikoma.........shemeji.
Afu hayo makofi hapo mbona kama nahisi ndo yale yenyewe? Loh

umeona eeh! halaf kama umechunguza, tangia pale umesema umeridhia basi jamaa wameongeza spidi ya makofi.Nimewasiliana nao wamesema watahuzuria kitchen party na wao. lol
 
loooool hahahahaah, hapo red hapo! lol,.
shemeji, hapo honeymoon waswahili ukitoa taarifa mara wanaloga bana, nimeamua niondoke kibubu bubu tu.

..he heh he,...Aspirin yupo wapi jamani,...ataua mtu leo!

Sawa 'shemeji' nimekuelewa kabisa .............so na sie unatushauri hivyo??......tusiage? lol
We Mbu asa mbona umeniacha naghani peke yangu!! au ndo yale yale.....hujapata unahangaika na mashairi unajifunza, ukipata ndo inakuwa mazoea?

...nilikuwa nala futari ewe mahbouba chokileti wa moyoni mwangu...si nilikwambia nafunga leo mpaka kieleweke?
maana huyu babu'yo Aspirin tangu jana alinishikia bango, leo na nia nimetangaza...aje kivingine sasa.

Too fast! nimetoka dakika 10 tu, nakuta vigelegele. hapa nani shemeji angu sasa, mbu au mj1.

Kwakuwa mimi ni mwana itifaki na demokrasia, wewe chagua upande tu kaka,..."mwamba ngoma,....!"

.........................hahahaha we bwana usijali..........hutopishana sana na mie lol Tembo mtoto (tuombe Mbu asijerudi reverse akijaniona live) lol

...hata kama, nimekupenda wewe sio kwa umbo pekee...
Cheers! mabibi na mabwana...

Msishangae, Mlikuwa wapi siku zote?
 
hehehe nikiwa kama lawyer wa Mbu, proposal ya Mbu nimeicancel until further notice!

To MJ1: Kama umefikiria na kuamua bora klorokwini kuliko Mbu nadhani hujafanya uamuzi mbaya kabisa MJ1, enhee tukutane wapi?

aisee.... ntakua silali tena mwaka huu, yamekua haya swahiba??
 
Poor me nilisahau kuwa kiswahili cha Haya ni YES kwa kiinglish!!

MTM, FT na Klorokwini natamka rasmi........Oh my gosh, oh my gosh, oh my gosh........yehs, yes, yes.......yes Mbu I will marry you if my Babu gives us a permission.
Mjukuu mtiifu...........Hizo bold ni kiinglish au kilatini?.............Am watching!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…