Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

khaaaaa!!! ....kwa mjukuu wako una mkwara kama joka la mchungwani!...haya bana....

25630652-mosquito-cartoon.jpg
naendelea kuchonga makali, kitaeleweka tu.

progress.gif

Umeona eh!! Afu anajidai ye wa kibisa.

KWani Bi Mkubwa ashatoa kitoka unyumba??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ehee halafu?

Nani alikudanganya ushakuwa mkubwa?
Kumbe bado........haya nasubiri.
Afu ntaolewa na nani babu maana kwetu si tunaoana wenyewe kwa wenyewe!
Wewe umemwoa Bibi,
Baba kamwoa mama,
Mjomba kamwoa shangazi!
So mimi nitaolewa na kaka eh?
 
Hapa kuna kila dalili za kumpoteza mjukuu mtiifu....

Haya mkishatongozana mniletee taarifa huku kitandani......... nakushauri uongozane na bibi.

Babu umesarenda hahahaha........ngoja nkaongee na Bibi nimwulize kama nimekua nafaa kuolewa loh!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kumbe bado........haya nasubiri.
Afu ntaolewa na nani babu maana kwetu si tunaoana wenyewe kwa wenyewe!
Wewe umemwoa Bibi,
Baba kamwoa mama,
Mjomba kamwoa shangazi!
So mimi nitaolewa na kaka eh?
Mjukuu ni mke wa babu, sijui nimeeleweka?
 
Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans aije akaweka matuta kwenye mapaya yako.
 
Ah sasa hapa babu unanitongoza, kweli tena loh
So nami niitwe Bibi? hapana ngoja nikamwulize Bibi kwanza
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?
 
Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans aije akaweka matuta kwenye mapaya yako.
Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!
Hivi Babu BTW.......wakati huyo Bwana anasimulia afu akaulizwa hilo swali........alisema alireact vipi? Aliendelea kula au alisusa na kuondoka?
 
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?

........................Eh Babu kwa hiyo mie malipo ya elimu ya Baba??........
 
Ehee halafu?

Nani alikudanganya ushakuwa mkubwa?

Loh, babu huyu kiboko!
joti1-190x190.jpg
...mnoko kuliko Joti wa Orijino Komedi!

Kumbe bado........haya nasubiri.
Afu ntaolewa na nani babu maana kwetu si tunaoana wenyewe kwa wenyewe!
Wewe umemwoa Bibi,
Baba kamwoa mama,
Mjomba kamwoa shangazi!
So mimi nitaolewa na kaka eh?
"Liberian Girl"....(ha ha ha, babu yako lazima ateme ugoro hapa!)...miye kaka binamu,
kukuoa ruksa!

Mjukuu ni mke wa babu, sijui nimeeleweka?

nilivyoelewa mimi unasema wewe ni "babu wa mke!"...asante sana, nakushukuru.
Posa nilete kwako au kwa bibi?
 
Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!
Hivi Babu BTW.......wakati huyo Bwana anasimulia afu akaulizwa hilo swali........alisema alireact vipi? Aliendelea kula au alisusa na kuondoka?

Kwa mujibu wa muathirika, hicho kitu aliambiwa baada ya shughuli..... weshakoga zao sasa wamerudi bed kwa ajili ya retreat kabla ya kulala mzungu wa nne.... ndo ikamtoka hiyo...."Hivi we mwanaume, ulikuwa wapi siku zote ndo haya mambo wanifanyia leo?"......... Hahahahah
 
Posa ya kumwoa nani sasa?........huyu haolewi...nani atamkata babu kucha za miguuni (za mikononi nakata mwenyewe kwa meno).........nani atamnyoa babu nywele zake? Nani atamletea babu yake ugoro? Na mkongojo wa babu nani atamshikia?........subiri subiri mpaka Chiluba aniachie kijiti bana.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
We unafikiri ni kwanini baba yako alikuita jina la Bibi yako?.......Unataka kujifanya unajua kuliko baba yako niliyemsomesha mpaka darasa la nne shule ya mkoloni middle school?

...acha kumtishia mtoto nyau bana, hebu waache wastaafu wafurahie pensheni zao,
wewe babu vipi bana? mtoto keshakua huyu...au mpaka 'avimbiwe' (na kitukuu) ndio utaamini?

Loh Umenichongea uwongo Babu.......sawa tu!!
Hivi Babu BTW.......wakati huyo Bwana anasimulia afu akaulizwa hilo swali........alisema alireact vipi? Aliendelea kula au alisusa na kuondoka?

...hili swali lako limenikumbusha kisa cha Maty na yule bwana aliyesusia mlo! LOL...

Niko naye hapa, na nimeshamwambia tabia yako mbaya unayotaka kuianzisha..... ameshika kisu kile anachokufinyaga nacho...nakushauri uvae jeans asije akaweka matuta kwenye mapaya yako.

ha ha ha,
..."mkono usioweza ukata ubusu!"
Kwani ulikuwa wapi siku zote? mie ni mwanafamilia tayari..LOL!
 
Kwa mujibu wa muathirika, hicho kitu aliambiwa baada ya shughuli..... weshakoga zao sasa wamerudi bed kwa ajili ya retreat kabla ya kulala mzungu wa nne.... ndo ikamtoka hiyo...."Hivi we mwanaume, ulikuwa wapi siku zote ndo haya mambo wanifanyia leo?"......... Hahahahah

...........Ama kweli sasa naamini sifa nyingine bora zitolewe kimoyo moyo duh...............
Posa ya kumwoa nani sasa?........huyu haolewi...nani atamkata babu kucha za miguuni (za mikononi nakata mwenyewe kwa meno).........nani atamnyoa babu nywele zake? Nani atamletea babu yake ugoro? Na mkongojo wa babu nani atamshikia?........subiri subiri mpaka Chiluba aniachie kijiti bana.

Babu haya Chiluba ashakuachia hicho kiti ukitakacho. Naomba ruhsa!!
 
...acha kumtishia mtoto nyau bana, hebu waache wastaafu wafurahie pensheni zao,
wewe babu vipi bana? mtoto keshakua huyu...au mpaka 'avimbiwe' (na kitukuu) ndio utaamini?

...hili swali lako limenikumbusha kisa cha Maty na yule bwana aliyesusia mlo! LOL...

ha ha ha,
..."mkono usioweza ukata ubusu!"
Kwani ulikuwa wapi siku zote? mie ni mwanafamilia tayari..LOL!
Aisee hii moskwito ni king'ang'anizi kama konda wa Mbagala-Kawe.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...acha kumtishia mtoto nyau bana, hebu waache wastaafu wafurahie pensheni zao,
wewe babu vipi bana? mtoto keshakua huyu...au mpaka 'avimbiwe' (na kitukuu) ndio utaamini?

Hahahahah Mbu wataka Babu aingie ndani ya screen weye naona..shauri yako.

...hili swali lako limenikumbusha kisa cha Maty na yule bwana aliyesusia mlo! LOL...

Hahahah Matty amepinda huyu yaani mie simuwezi!!

ha ha ha, ..."mkono usioweza ukata ubusu!"
Kwani ulikuwa wapi siku zote? mie ni mwanafamilia tayari..LOL!

Hapo chacha....anashtuka wakati wa mahari ilhali posa ilishakubaliwa!
Babu ulikuwa wapi siku zote?? Afu hii thread imepinda kabisa from Mapishi to kuozeshana!! Mlikuwa wapi siku zote??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom