Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

tulikuwa wadogo sasa tumekuwa that why tunajua mmh na kufurahi,but hakuna jipya chini ya jua yote yalipangwa toka hapo.thnx babu u a great,
Conquest-hata maji ukiyaona utajiuliza ni nini wabongo maswali mengi na majibu mengi ooh yeah jf
 
Second selection babu, jealous!!!
Hahahahaha....second selection....aka shule za kata? LOL

Babu hana sekandi seleksheni, babu hana festi seleksheni...wote mnakeri iko weiti.

Babu loves all wajukuuz ikwale....Ondoa jilazi okei?
 
Ahsante babu mjukuu mtiifu nimekuelewa
 
Nilikuwa twisheni ili nikusapraizi kidogo na ujio wangu....nadhani wajukuu wote hawajambo na hakuna anayeleata matatizo..
Afadhali umerudi... malezi yangu peke yangu kidogo ninywe sumu.
Huku kuna :
Mjukuu mtiifu
Mjukuu mteule
Wajukuu wakorofi
Wajukuu watukutu
Wajukuu wambea

Yaani tabu tupu..... hebu uje na ule mkongojo ulonambia utaniletea
 
ahahahahhaaaa.Kazi kweli unayo ,kuna hadi wajukuu wakorofi na watukutu?Lakn Usijali bibi yupo imara kukusaidia na kazi ya kulea wajukuu.Na mkongojo nitakuja nao.alafu kwani zile mila nyingine umeacha?Nataka nikuletee zawadi ambayo haiendani na mila...
 
Wanamwonea babu wivu.... maskini hawajui babi ni joka la Kibisa? Halina meno na haling'ati......... unalichezea utakavyo.

Mgomo wa nini sasa? Mjukuu hawezi kuwa mpenzi wa babu yake? LOL
Hahaha......Babu naomba nichezee joka!!!! si haling'ati?

Nashangaaaaa!
Mbona hiyo iko wazi! babu na mjukuu wake ni wapenzi
Njoo lichezee mama, ila usijisahau siku 21 meno yanaota tena.....usijepata ajali

"Ama fimbo ya mbali haiui joka!"....:music:...heri mie sijasoma wala kusikia lolote...
hivi nilikuwa wapi siku zote?

Klorokwini nae yupo wapi hizi siku zote?
he he he!....
 
ahahahahhaaaa.Kazi kweli unayo ,kuna hadi wajukuu wakorofi na watukutu?Lakn Usijali bibi yupo imara kukusaidia na kazi ya kulea wajukuu.Na mkongojo nitakuja nao.alafu kwani zile mila nyingine umeacha?Nataka nikuletee zawadi ambayo haiendani na mila...
Hebu harakisha kuleta hiyo zawadi LOL.......... Mila si unajua nlirithishwa na mababu? haiachiki bana..... Na si unajua Lila na Fila havitangamani>
 
"Ama fimbo ya mbali haiui joka!"....:music:...heri mie sijasoma wala kusikia lolote...
hivi nilikuwa wapi siku zote?

Klorokwini nae yupo wapi hizi siku zote?
he he he!....

Hahaha we moskwito.... unajua ulichomtendea mai felo tableti afu unakuja hapa kuzuga yuko wapi?
My Fellow tablet amekumbwa na malaria Sugu kwa hisani yako mbu wewe
Akirudi atakuja na dozi mpya, itakuwa zamu yako kuuliziwa....ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE...

BTW fimbo haiui joka bali inaua nyoka!
 
haki sikijui...kwani mara ya ngapi nakuuliza hapa...?
amepoteza kiwango cha TBS? ...kama hatibu malaria mbu anakosa gani bani?
 
Tatizo nyie mbu wa siku hizi, badala ya kuambukiza malaria usiku, hata mchana mnatufanyizia. Ndo kilichomsibu ndugu yangu
 
ok,....mbu ni host tu...mutation ya sporozoites na dawa mseto (ikiwemo nawe
Aspirin) ndiyo mlaumiwe kwa
kumpotezea
klorokwini ubora wake.

Niozeshe basi huyo mjukuu wako mpenzi bana, ujue nimemzimikia sana? Sijui alikuwa wapi siku zote!
damu yake i motoooooo! Haya bana,....narudi kulala, 'Donors' wa jana walinisumbua na vyandarua vyao.
 
Niozeshe basi huyo
mjukuu wako mpenzi bana, ujue nimemzimikia sana? Sijui alikuwa wapi siku zote!
damu yake i motoooooo! Haya bana,....narudi kulala, 'Donors'
wa jana walinisumbua na vyandarua vyao.
Mjukuu mpenzi aka mjukuu mtiifu ni mtiifu na mpenzi kwa babu yake tu na si vinginevyo.... kumzimikia mjukuu mtiifu ni kosa la jinai. Nshamnunulia X-pel incase wadudu wakionyesha nia ya kumsogelea na kumyonya (siyo mate)... Mjukuu mtiifu haolewi. Ila nna wajukuu wengi watukutu kwa wambea, wakorofi kwa wagomvi....hao naozesha bure........sanasana naweza kukupa wewe mahari...LOL

Hahaha...pole, hivi vyandarua vyenye dawa ndo dawa pekee ya kumrejesha my fellow tablet jamvini...
 
khaaaaa!!! ....kwa mjukuu wako una mkwara kama joka la mchungwani!...haya bana....

25630652-mosquito-cartoon.jpg
naendelea kuchonga makali, kitaeleweka tu.

progress.gif
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2117100
 
ok,....mbu ni host tu...mutation ya sporozoites na dawa mseto (ikiwemo nawe
Aspirin) ndiyo mlaumiwe kwa
kumpotezea
klorokwini ubora wake.

Niozeshe basi huyo mjukuu wako mpenzi bana, ujue nimemzimikia sana? Sijui alikuwa wapi siku zote!
damu yake i motoooooo! Haya bana,....narudi kulala, 'Donors' wa jana walinisumbua na vyandarua vyao.

Mjukuu mpenzi aka mjukuu mtiifu ni mtiifu na mpenzi kwa babu yake tu na si vinginevyo.... kumzimikia mjukuu mtiifu ni kosa la jinai. Nshamnunulia X-pel incase wadudu wakionyesha nia ya kumsogelea na kumyonya (siyo mate)... Mjukuu mtiifu haolewi. Ila nna wajukuu wengi watukutu kwa wambea, wakorofi kwa wagomvi....hao naozesha bure........sanasana naweza kukupa wewe mahari...LOL

Hahaha...pole, hivi vyandarua vyenye dawa ndo dawa pekee ya kumrejesha my fellow tablet jamvini...

Babu naomba kuolewa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom