Hapa nimetoka kapaNilipigwa na baridi la kufa mtu jioni baada ya kuoga. siku iliyofuata nikawaambia wenyeji wangu leo sitaki kuoga jioni, wakacheka kwa pamoja na kusema tulijuwa tu.
kumbe wenyewe wanaoga mapema mida ya saa 9-10, usiku wanatawadha wanalala.
kwakweli na alinipenda piaInapendeza sana kama alibadirika ila kwa watu apagumu sana
๐๐usicheke ni huzuni tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakuelewa hapoHaha mjambaji ni kibosile huko wizara ile ya ๐ฐ nilijisemea haya mambo hayana ukuu
Nimeedit mkuu ili uelewe, kwa uelewa wangu jioni kuna magharibi na alasiri.Hapa nimetoka kapa
Dingi mdogo aliyekuwa anajamba na kukoroma kwenye usiku ule wa simanzi kwangu ni kibosile kwenye wizara ile ya ๐ฐ,alipokuwa akifanya mambo yake hayo nikawa nawaza kwamba kuna mambo hayana ukibosile kama.hayo ya kujamba na kukoroma usiku,hapo unenielewa?Sijakuelewa hapo
Hii kitu INAKATA SANA... huwa nikisikia hivyo nakata mazoea automatically.... NB:ishanikuta. Boma ile sijawahi ikanyaga tena ... since may 2023Ushawahi kufika ugenini mtoto from nowhere aropoke "mama uncle amekuja kutumalizia chakula".
Ulitaka kudokoa chakula ya baba?๐คฃ๐คฃBasi buana wale wapendwa wetu wanafanya kazi za night shift alafu nikabaki na beki na vitoto vidogo hata havijui kuongea vikalala basi buana tukaamza KUCHEKI movie basi buana nbeki ana kagaguro tu aiseh nikaanza misheni tow basi akagoma goma pale mzee kukakucha dah alanbaba mwenye nyumba kaingia mida flani mama mwenye nyumba bado Yuko shift si nikaona beki anaingi kwa faza house mimi Nilikiwa nimelala kiuongo na kweli Sasa alivyoingia nikatoka kama nataka kwenda nje KUCHEKI mpangonimegungwa buana kwenda chooninsimuoni beki kuchungukia kwa hayumo ebana nikarudia kujilaza mara nasikia mlangonunalia fiu kuchungukia sibeki anatoka room ya faza house wakati fazanyumo na moaza house hayupo.
Nikakonclude kumbe house girl ni chakula ya faza house lo ruhama. Ndioana kanizingua
Ahahah duh kumbe watu mna ndugu wazito ivyoo hongera zakoDingi mdogo aliyekuwa anajamba na kukoroma kwenye usiku ule wa simanzi kwangu ni kibosile kwenye wizara ile ya ๐ฐ,alipokuwa akifanya mambo yake hayo nikawa nawaza kwamba kuna mambo hayana ukibosile kama.hayo ya kujamba na kukoroma usiku,hapo unenielewa?
Hachagui pahalaMtoto ni kama mlevi, amaropoka tu.
Sasa na wew hukua na tochi ๐๐ hata harufuNilienda ugenini ile nyumba ni kubwa sasa usiku umeme ukakatika, nikainuka kwenda toilet kukojoa Nika changanya milango ni kaingia jikoni kusukuma
mlango masufuria yakaanguka na fagio likamwaga sufuria ya mboga aiseeee ilikuwa aibu sana
Uyo bwana mshafu sana jau sana uyooNilienda kutembea kwenye familia moja kikaletwa chakula, sahani ya ugali na ya mboga (nakumbuka ilikuwa nyama ya mchuzi) tupo wanne mezani tunakula mdogo mdogo tulipofika nusu ya Sahani ya mboga mwamba (ambaye n mwenyeji wetu) akachukua sahani akanywa mchuzi nusu eti anapunguza ili nyama zionekane ๐๐๐ akarudiaha mezani tukaendelea.
Ahahah uchafu sanaWakati fulani nikiwa na miaka kama 14 hivi tulihama kutoka mkoa tuliokuepo tukahamia Mwanza, sasa tulivyofika tukapanga, wapangaji tulikua sisi tu na mwenye nyumba, Kuna mambo yalinishangaza sana nilipokua pale.
1.walikua hawaoshi nyama, yaani ikitoka buchani inakatwa inawekwa maji inapikwa( wamasema ikioshwa inaisha utamu.
2.Hawachemshi maji ya kunywa wanasema wakichemsha wataumwa tumbo ( whaaat!!!)
3.Sabuni ya kuogea hiyo hiyo wanaoshea vyombo yaani mtu yupo bafuni utasikia "weee fulani oga haraka ulete sabuni tuoshe vyombo"๐คฎ
4.Yule mama alijifungua sasa, kwa madai yake nepi za mtoto zinatakiwa zichemshwe ndo zinatakata vizuri kwa hiyo nepi zenye pupu ya mtoto zinatolewa tu pupu, zinapitishwa kwenye maji halafu zinawekwa kwenye sufuria na sabuni ya unga zinachemshwa halafu ndo zifuliwe sasa, hilo sufuria ndo baadae usiku wanapikia wali๐.
Nakumbuka tulikaaga pale mwaka mzima sikuwahi kunywa hata maji kwenye ile nyumba yaani ile hygiene yao ilikua inanipa kinyaa.Halafu wenyewe walikua wanaona sawa tu.
Halafu walikua watu tu wa maana na nyumba kali sema kuna vitu tu walikua hawajui nadhani.
NB: hawakua wasukuma