Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Dah kuna manzi aliniacha eti kisa alikuja gero akakuta fegi kwenye tray. Akaniuliza unavuta fegi nikamwambia kwani ajabu?
Akasepa pale pale bila kuongea kitu nikajua masihara tu anarudi, hakurudi na mimi sikumtafuta baada ya muda nikafuta namba na hukuwahi kunitafuta miaka kama minne sasa imepita.