Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Hivi ukatili utaacha lini? Na unakusaidia nini lakini?
Yani kumpa mtu burudani lodge ni ukatili 😂😂😂!!! Inamaana huyo bwege angefanya tofauti na ambacho mie ningemfanyia au na pengine angemla tigo kabisa.?
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje [emoji17]
Kaa kwa kutulia
Tatizo lenu mnatafuta mke bila kumshirikisha Mungu
Endeleeni kuangalia tako shepu sura na nyonyo
Utafikiri ni wewe mwenyewe umemuona
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
me nlimwambia nimeokoka staki tena uasherati, kumbe kidume nimeokota mali mpya, nikamuacha and it was the best decision , saiv yupo na mshkaji mwingine na wana mtoto! We used to *** 30 mins before an exam, maisha ya collage bana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wayback ndo nimemaliza form four tu nipo home naskiliziaa matokeooo bas nilikuwa na kidemu flani cheupeee hata kovu hakina kizur chembamba umbo la kimiss sasa kilikuwa kinanipiga mizinga ya vocha nikawa nakapa ikiwepo isipokuwepo bas namwambia tu sinaa duuh siku moja from no where naambiwa nikimo kupiga wala kutuma txt mwanaume gani hata vocha tu siwez kutuma na kwamba kapata bwana anafanya kazi TRA kaahidi kumnunulia gari bas mzee wa kazi ikabid nimuachie blo wa TRA mimi nikaji bless best yake mmoja maisha yakandelea miaka mingi baadae anaanza kumsumbua rafik yake eti aachane na mimi 😂😂😂

NB: Ma bloo wa TiaRaEi Umbwa wakubwaa nyieee unaahidije kuhonga gari aseee
 
Naweza kupiga call ata 7 na asirespond ata akiona missed call
Muda akijisikia kupokea ukimuuliza anasema alikuwa busy na hajaona chochote

iliniwia vigumu kukubaliana na ukweli ila mwisho wa siku nilikaza Roho na kuibukia huku kwenye Uchakataji,

"MIMI NIJE KUPENDA TENA MWANAMKE LABDA NIFE NA KUFUFUKA TENA "
Mtoa post umegusa penyewe maana SCENARIO kama hii post ndio napambana nayo , niliwahi kumpenda manzi kipindi cha nyuma miaka kama 2013 hivi na ndio ilikuwa mara ya kwanza kumpenda demu kwa dhati sio kwa papuchi ila ilikuwa ni kwa dhati kabisa tofauti MABAHARIA wanavyopenda maana kuna ka utofauti kati ya pendo la KIBAHARIA na la mtu aliyependa aweke ndani baadae, bahati mbaya mahusiano yalikuwa ya muda mrefu sana.
Ee bhana hawa viumbe wakati mwingime wanajua kucheza karata zao za maigizo dah! Nilihudumia nikijua nahudumia wife material bhna, ila kilichonikuta nina kijua mimi
Tokea 2015 nikaamua kuapa kama wewe hapo juu na nilifanikiwa pakubwa sana KUIKWAA LIKIZO NDEEFU ya kupenda toka 2015 hadi 2020 disemba 31 saa 6 usiku.
Kipindi hicho chote cha Likizo nilicheza kibaharia hatariiii + rough za kutosha tu kwa hawa viumbe, mwiko tu hamna kupenda, unapenda KiBAHARIA tu maisha yanaendelea bila MAJERUHI WALA MAUMIVU😂
Asikwambie mtu bhana kupenda KIBAHARIA HAKUNA STRESS WALA NDUGU YAKE NA STRESS, safi mno.

Sasa 2021 imeingia bhana ohoooo!
hali ya miaka ya nyuma imetokea sasa KUPENDA KUSIKO KAWAIDA kupenda OUT of KI-OCEAN yaani duh!
Nina mwezi mmoja na tulianza vizuri sana kwa january yote,
kimbembe kinachonitesa ni kuwa nimemuonesha upendo wangu wote kuanzia kwenye UNYAYO WA MGUU HADI KISOGONI kudadeeek, yaaan acha bhana kumpenda demu taabu sana,

Kila nikituma sms
mimi= mambo
yeye= p
mimi= kipenz wangu mbona huna furaha
yeye= niko normal
mimi= mbona mwanzo hukuwa hivi
yeye= sijui
mimi= aya bhana
yeye= p, baadae

Yaani akili yangu yote haifanyi kazi kabisa kwa sabab ya huyu mmanzi na nilikuwa na mpango wa KUMWEKA NDANI KABISA ila sasa naona LIKIZO INANIHUSU SINA UJANJA

Bandugu JF ina mamenta wazurii sana hebu nishaurini nimchinjie BAHARINI au niendeleee KUJILIZA LIZA kwa huyu mmanz!
binafsi niligeuka kuwa mentor wa wengi waliopatwa na majanga haya kipindi nikiwa LIKIZO maana NILIKOSA kazi ya KUFANYA LIKIZONI kwa party time tu lakini, sasa yamenikuta tena mimi mwenyewe na siwezi KUJIMENTOR mwenyewe maana sina taaluma ya umenta ijapo niliifanya ili kufariji wenzangu tu LIKIZONI
Sina raha, sipati chakula kwa utulivu, moyo una ruka ruka tu kama mahaarage yakiwa YANAKWEPA KUIVA KWA MAJI YA MOTO, imeathiri utendaji wa kazi zangu kabisa na nina fanya makosa mengi ninapo kuwa kazini, ila yote ni kwa sababu moyo umependa kupitiliza kwa huyu manzi,

Nawasihi jamani mamenta mnisaidie tu, kama ni kurudi UBAHARIANI NIMECHOKA na sipo tayari kurudi likizo hiyo tena, maana nimekuwa sasa 27+months sio haba, naomba mnipe ushauri NiFanyaje kwa hili

demu kabadilika kinoma na ukitaka kumpigia lazima uwe na roho ngumu maana jibu lake ni kuwa niko bize na mtoto wa ant labda nitafute baadae, ukimcheki hiyo baadae utasikia nataka nilale maana sijalala mchana kwa hiyo nataka kupmzika,

SEM NINA UZOEFU NA UBAHARIA, dent akisema ivo si kweli utashangaa ukiiingia FB mesenger yupo online hata saa 7 usiku unamuona kabisa yupo online, au whatsaap unaona kabisa yupo online, wachaa wee moyo unavoruka ruka khaaaa,
Hii mambo iache tu inatesa sana,
karibuni sana kwa kunipa mawazo mbadala
 
Mtoa post umegusa penyewe maana SCENARIO kama hii post ndio napambana nayo , niliwahi kumpenda manzi kipindi cha nyuma miaka kama 2013 hivi na ndio ilikuwa mara ya kwanza kumpenda demu kwa dhati sio kwa papuchi ila ilikuwa ni kwa dhati kabisa tofauti MABAHARIA wanavyopenda maana kuna ka utofauti kati ya pendo la KIBAHARIA na la mtu aliyependa aweke ndani baadae, bahati mbaya mahusiano yalikuwa ya muda mrefu sana.
Ee bhana hawa viumbe wakati mwingime wanajua kucheza karata zao za maigizo dah! Nilihudumia nikijua nahudumia wife material bhna, ila kilichonikuta nina kijua mimi
Tokea 2015 nikaamua kuapa kama wewe hapo juu na nilifanikiwa pakubwa sana KUIKWAA LIKIZO NDEEFU ya kupenda toka 2015 hadi 2020 disemba 31 saa 6 usiku.
Kipindi hicho chote cha Likizo nilicheza kibaharia hatariiii + rough za kutosha tu kwa hawa viumbe, mwiko tu hamna kupenda, unapenda KiBAHARIA tu maisha yanaendelea bila MAJERUHI WALA MAUMIVU[emoji23]
Asikwambie mtu bhana kupenda KIBAHARIA HAKUNA STRESS WALA NDUGU YAKE NA STRESS, safi mno.

Sasa 2021 imeingia bhana ohoooo!
hali ya miaka ya nyuma imetokea sasa KUPENDA KUSIKO KAWAIDA kupenda OUT of KI-OCEAN yaani duh!
Nina mwezi mmoja na tulianza vizuri sana kwa january yote,
kimbembe kinachonitesa ni kuwa nimemuonesha upendo wangu wote kuanzia kwenye UNYAYO WA MGUU HADI KISOGONI kudadeeek, yaaan acha bhana kumpenda demu taabu sana,

Kila nikituma sms
mimi= mambo
yeye= p
mimi= kipenz wangu mbona huna furaha
yeye= niko normal
mimi= mbona mwanzo hukuwa hivi
yeye= sijui
mimi= aya bhana
yeye= p, baadae

Yaani akili yangu yote haifanyi kazi kabisa kwa sabab ya huyu mmanzi na nilikuwa na mpango wa KUMWEKA NDANI KABISA ila sasa naona LIKIZO INANIHUSU SINA UJANJA

Bandugu JF ina mamenta wazurii sana hebu nishaurini nimchinjie BAHARINI au niendeleee KUJILIZA LIZA kwa huyu mmanz!
binafsi niligeuka kuwa mentor wa wengi waliopatwa na majanga haya kipindi nikiwa LIKIZO maana NILIKOSA kazi ya KUFANYA LIKIZONI kwa party time tu lakini, sasa yamenikuta tena mimi mwenyewe na siwezi KUJIMENTOR mwenyewe maana sina taaluma ya umenta ijapo niliifanya ili kufariji wenzangu tu LIKIZONI
Sina raha, sipati chakula kwa utulivu, moyo una ruka ruka tu kama mahaarage yakiwa YANAKWEPA KUIVA KWA MAJI YA MOTO, imeathiri utendaji wa kazi zangu kabisa na nina fanya makosa mengi ninapo kuwa kazini, ila yote ni kwa sababu moyo umependa kupitiliza kwa huyu manzi,

Nawasihi jamani mamenta mnisaidie tu, kama ni kurudi UBAHARIANI NIMECHOKA na sipo tayari kurudi likizo hiyo tena, maana nimekuwa sasa 27+months sio haba, naomba mnipe ushauri NiFanyaje kwa hili

demu kabadilika kinoma na ukitaka kumpigia lazima uwe na roho ngumu maana jibu lake ni kuwa niko bize na mtoto wa ant labda nitafute baadae, ukimcheki hiyo baadae utasikia nataka nilale maana sijalala mchana kwa hiyo nataka kupmzika,

SEM NINA UZOEFU NA UBAHARIA, dent akisema ivo si kweli utashangaa ukiiingia FB mesenger yupo online hata saa 7 usiku unamuona kabisa yupo online, au whatsaap unaona kabisa yupo online, wachaa wee moyo unavoruka ruka khaaaa,
Hii mambo iache tu inatesa sana,
karibuni sana kwa kunipa mawazo mbadala
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] utakuja kufa mamaee
 
Yani kumpa mtu burudani lodge ni ukatili [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Inamaana huyo bwege angefanya tofauti na ambacho mie ningemfanyia au na pengine angemla tigo kabisa.?
Khaaaah!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom