Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,103
Chanzo changu baba yangu..!!Adam hakuwepo? Kwa hivyo wewe chanzo chako ni nyani kama wazungu wanavyokwambia?
Jibu lako kwamba chanzo cha Mungu , muulize baba, baba atamuuliza baba yake. Mnyororo utafata nyuma mpaka mtu wa mwanzo kumza familia yako hapo itakupa jibu, yeye kaaanza vipi?
Mungu chanzo chake nini?? Mbona hili swali unalikwepa??
Haya sema sasa Mungu alitokea wapi?