Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Nilipojua Yesu na Issa ni watu wawili tofauti kabisa
 
Akili za kuku hizi.
Yeye ndie alieumba mbingu na Ardhi. Wewe kama unaweza zishushe mbingu chini
Wakati anaumba mbingu na ardhi yeye alikaa wapi?

Taratibu punguza munkari twende kwa fact malaria buana..!! 😹
 
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?

Surat Al-Baqara (2:132)
Tatizo lenu wafia dini, mnashindwa kukubaliana kuto kukubaliana (Agree to disagree).
Wakristo wana Mungu wao, na waislam wana Mungu wao. Japo kuwa story ya mmoja inataka ifanane na story ya mwingine.
Kila mmoja anaclaim Wake ndo mkubwa wa wote, hapo ndo tatizo linapo anza.
 
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?

Surat Al-Baqara (2:132)
Du kitambo we fala kumbe upo JF ...mbona nilikuwa nakutag lakini kimya😁😁😁 mambo ya dini niulizeni mimi niwape ilimu sahihi
 
Wakati anaumba mbingu na ardhi yeye alikaa wapi?

Taratibu punguza munkari twende kwa fact malaria buana..!! 😹
Akili za kuku hizi. Jiulize weye kwanza. Kabla ya kuja duniani ulikuwa wapi?
 
Chanzo chako nini wewe? Unakijua?
Nawauliza nyie mliyesema Mungu yupo na baadae mnakataa hayupo??

Hebu chagueni upande ndo tubishane kwa hoja, hii kugeuka geuka km vinyonga mnatuchanganya??

Haya sasa, Mungu yupo au hayupo??
 
Sasa km hujui ilitokea vipi kwann unabisha? Kwani si kila kitu kina chanzo chake? 🤔
Swali zuri binti.

Kimantiki kila kitu kina chanzo, nakubaliana na hilo.

Ulimwengu unaweza ukawa na chanzo, nakubaliana na hilo.

Lakini chanzo hicho hakiwezi kuwa hii miungu iliyotengenezwa na binadamu. Ina mapungufu.
 
Tatizo lenu wafia dini, mnashindwa kukubaliana kuto kukubaliana (Agree to disagree).
Wakristo wana Mungu wao, na waislam wana Mungu wao. Japo kuwa story ya mmoja inataka ifanane na story ya mwingine.
Kila mmoja anaclaim Wake ndo mkubwa wa wote, hapo ndo tatizo linapo anza.
Ndio wakiristo na waislam wanaamini Mungu tafauti
Nawauliza nyie mliyesema Mungu yupo na baadae mnakataa hayupo??

Hebu chagueni upande ndo tubishane kwa hoja, hii kugeuka geuka km vinyonga mnatuchanganya??

Haya sasa, Mungu yupo au hayupo??
Nani kwakwambia Mungu hayupo? Ungalikunya wewe?
 
Akili za kuku hizi. Jiulize weye kwanza. Kabla ya kuja duniani ulikuwa wapi?
Sikujua nilipokuwepo nilishangaa nipo duniani.. ila kwa maelezo ya wazazi wangu walisema nimetokana na wao..!!

Jibu swali sasa, Mungu chanzo chake kipi??
 
Sikujua nilipokuwepo nilishangaa nipo duniani.. ila kwa maelezo ya wazazi wangu walisema nimetokana na wao..!!

Jibu swali sasa, Mungu chanzo chake kipi??
Qur’an – Surat Al-Hadid (57:3):

"Yeye ni wa kwanza na wa mwisho, wa dhahiri na wa siri; na Yeye ni Mjuzi wa kila kitu."

Mtume Muhammad (SAW) alisema:

"Mfikiriye Allah kwa sifa Zake, wala msimfikirie kwa dhati Yake (haka zetu haziwezi kumfikiri)."
(Sahih Muslim)
 
Qur’an – Surat Al-Hadid (57:3):

Mtume Muhammad (SAW) alisema:

(Sahih Muslim)
Huwezi kutetea hoja yako kwa kutumia vitabu vya Quraan vilivyoandikwa na binadamu ambao nao hawajui chanzo cha Mungu sheikh malaria..!!

Hivyo vitabu vina uongo mwingi, ukijua chanzo cha Mungu utanishtua naona unaanza kusinzia dose tuliyokupa kali..!!
 
Muulize Adam aliezaliwa mwanzo. Bora kuku anaakili kuliko wewe.
 
Mungu ni mmoja tu
Yupi huyo? Anaishi wapi? Na chanzo chake kipi??

Labda nikurahisishie swali, mimi na wewe tuna chanzo chetu yaani wazazi wetu, walifanya matusi tukazaliwa si ndiyo?

Haya sasa Mungu chanzo chake kipi?
Au bado hujaelewa swali?
 
Miungu ipi sasa ambayo haina mapungufu ilitengeneza dunia??
Tambua kwamba "mungu" ni dhana ambayo binadamu aliitengeneza kuufafanua ulimwengu.

Kwahiyo miungu ni mawazo ya kibinadamu kabisa.

Pia neno "mungu" ni tata, tamaduni mbalimbali zinalitafsiri kwa namna mbalimbali, hata watu pia.

Mimi ni mdau mkubwa wa falsafa ya "ignosticism", kwamba mijadala juu ya mungu haina maana ingali watu wote hatuwezi kukubaliana juu ya maana ya moja ya neno "mungu".

Kama ulimwengu uliumbwa, basi aliyeuumba ni muumbaji tu, mambo ya miungu sikubaliani nayo.
 
Back
Top Bottom