Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Yupi huyo? Anaishi wapi? Na chanzo chake kipi??

Labda nikurahisishie swali, mimi na wewe tuna chanzo chetu yaani wazazi wetu, walifanya matusi tukazaliwa si ndiyo?

Haya sasa Mungu chanzo chake kipi?
Au bado hujaelewa swali?
Huyo mzazi wako kazaliwa na nani? Rudi nyuma zaidi zaidi zaidi. Mpaka uanze shina la mzazi wako
 
Hakika Mwenyezi Mungu mwenyewe pamoja na Malaika wake wanamswalia (wanamrehemu, wanamheshimu, na kumuombea Mtume Muhammad). Basi enyi mlioamini, nanyi mswalieni (mwombeeni rehema) na mumsalimie kwa amani na heshima."

---

Maelezo ya Maana:

"Mwenyezi Mungu kumswalia Mtume": Hii ina maana kuwa Allah anampa Mtume heshima, rehema, na kumuinua daraja lake duniani na Akhera.

"Malaika kumswalia Mtume": Wao humuombea dua, msamaha, na kueneza heshima yake.

"Enyi mlioamini, mswalieni": Allah anatuamrisha sisi waumini tumwombee Mtume Muhammad rehema na amani mara kwa mara.

"Mumsalimie kwa salamu ya amani": Tunampongeza na kumtakia salama, kwa kusema:
Allah ana mswalia mtume (How?) Kivipi yaani ,kwa sababu gani yaani? Ili iweje yaani? After kumswalia ili kitokee nini yaani.Maswali ni mengi sana yasiyo na majibu..na kwa nini Allah amuheshimu Muhammad? How is it Possible?
 
Tambua kwamba "mungu" ni dhana ambayo binadamu aliitengeneza kuufafanua ulimwengu.

Kwahiyo miungu ni mawazo ya kibinadamu kabisa.

Pia neno "mungu" ni tata, tamaduni mbalimbali zinalitafsiri kwa namna mbalimbali, hata watu pia.

Mimi ni mdau mkubwa wa falsafa ya "ignosticism", kwamba mijadala juu ya mungu haina maana ingali watu wote hatuwezi kukubaliana juu ya maana ya moja ya neno "mungu".

Kama ulimwengu uliumbwa, basi aliyeuumba ni muumbaji tu, mambo ya miungu sikubaliani nayo.
Umetoa hoja ya kifalsafa ambayo inaangazia mtazamo wa ignosticism, kwamba mijadala kuhusu "mungu" haina maana mpaka kuwe na uelewano wa dhahiri kuhusu maana ya "mungu." Huu ni mtazamo wa kiakili unaozingatia ugumu wa lugha, tofauti za kiutamaduni, na tafsiri za binadamu.

Lakini kwa mujibu wa Qur’an, hoja hii ina jibu bayana: Mwenyezi Mungu (Allah) yupo, na Yeye ndiye Muumbaji wa kila kitu – si wazo la kibinadamu, bali ni wa milele, asiyehitaji kufafanuliwa na binadamu, bali ndiye anayefafanua maisha yenyewe.

1. Allah si dhana ya binadamu – Yeye ndiye Muumba wa binadamu.

Qur’an – Surat At-Tur (52:35–36):

"Je, waliumbwa bila ya kitu chochote? Au ni wao ndio waumaji?"
"Au wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana yakini."

Ufafanuzi:

Hii ni hoja ya mantiki: Je, mwanadamu aliumbwa kwa bahati mbaya? La.

Je, alijiumba mwenyewe? Haiwezekani.

Je, aliumba mbingu na ardhi? Hakika hapana.

Basi kwa mantiki hii, lazima kuwepo na Muumba aliye nje ya mfumo wa vitu – naye ni Allah.
 
Muulize Adam aliezaliwa mwanzo. Bora kuku anaakili kuliko wewe.
Adam una uthibitisho gani km aliumbwa na Mungu? Wewe ulikuwepo au tupe uthibitisho wa hilo?

Mimi nakubali nimetokana na wazazi wangu na hata wewe nakubali umetokana na wazazi wako na hata vizazi vijavyo vitakubali hilo sababu wataendelea kuzaliana kwa kufanya mapenzi…!!

Kwanini wewe hutaki kusema yeye Mungu alitokea wapi? Na pia tuendelee kuona kile chanzo chake kinaendelea kufanya kazi bila kutumia nguvu kuaminisha wengine kwa historia za kufikirika??

Hapa mimi na wewe nani ana akili za kuku sheikh malaria??
 
Allah ana mswalia mtume (How?) Kivipi yaani ,kwa sababu gani yaani? Ili iweje yaani? After kumswalia ili kitokee nini yaani.Maswali ni mengi sana yasiyo na majibu..na kwa nini Allah amuheshimu Muhammad? How is it Possible?
Kabla hujauliza hayo maswali. Jiulize. Jee leo unaweza kurudi tumboni kwa mzee wako kupitia pale pale ulipotokea? Nani kakufanya utokee hapo lkn ushindwe kurudi?
 
Adam una uthibitisho gani km aliumbwa na Mungu? Wewe ulikuwepo au tupe uthibitisho wa hilo?

Mimi nakubali nimetokana na wazazi wangu na hata wewe nakubali umetokana na wazazi wako na hata vizazi vijavyo vitakubali hilo sababu wataendelea kuzaliana kwa kufanya mapenzi…!!

Kwanini wewe hutaki kusema yeye Mungu alitokea wapi? Na pia tuendelee kuona kile chanzo chake kinaendelea kufanya kazi bila kutumia nguvu kuaminisha wengine kwa historia za kufikirika??

Hapa mimi na wewe nani ana akili za kuku sheikh malaria??
UNAONYESHA DHAHIRI AKILI ZAKO ZA KUKU. UNAKUBALI ADAM ALIKUWEPO LKN ALIEMLETA HUMJUI. NIMEKUTAJIA LKN HUTAKI KUMTAJA ALIEMLETA
 
Kabla hujauliza hayo maswali. Jiulize. Jee leo unaweza kurudi tumboni kwa mzee wako kupitia pale pale ulipotokea? Nani kakufanya utokee hapo lkn ushindwe kurudi?
Jibu maswali yangu acha porojo
 
Huna swali. Unaleta ngonjera tu. Ukiulizwa nje ya ukutani kwako kuna nani, jibu hujui
Hahahaa..masikini wee,huna jibu ndio mana unakwepa maswali yangu.Eti Allah ana mswalia mtume how? Unajua maana kuswalia ? Hayo maombi anayomswalia anayapeleka kwa mamlaka ipi? ..Wazee mnadanganywa sana yaani.
 
UNAONYESHA DHAHIRI AKILI ZAKO ZA KUKU. UNAKUBALI ADAM ALIKUWEPO LKN ALIEMLETA HUMJUI. NIMEKUTAJIA LKN HUTAKI KUMTAJA ALIEMLETA
Wapi nimekubali Adamu alikuwepo??
Hebu soma vizuri usikurupuke, halafu acha kujitingisha cannula itachomoka..!!

Hujajibu swali Mungu chanzo chake kipi?
 
Wapi nimekubali Adamu alikuwepo??
Hebu soma vizuri usikurupuke, halafu acha kujitingisha cannula itachomoka..!!

Hujajibu swali Mungu chanzo chake kipi?
Adam hakuwepo? Kwa hivyo wewe chanzo chako ni nyani kama wazungu wanavyokwambia?
Jibu lako kwamba chanzo cha Mungu , muulize baba, baba atamuuliza baba yake. Mnyororo utafata nyuma mpaka mtu wa mwanzo kumza familia yako hapo itakupa jibu, yeye kaaanza vipi?
 
Yeye Allah aliumbwa na nani?
Chanzo chake kipi?
Kwa kutumia akili tu:

Kila kilichoumbwa kina Muumba.

Lakini Muumba wa vyote lazima awe hakuumbwa.

Huyo ndiye Allah – wa milele, wa kwanza, asiyehitaji kitu chochote.
 
Back
Top Bottom