Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

Allah aliyasema hayo wapi? Wewe ushawahi kumuona? Je, anafananaje? Mzungu au mwafrika?
Surat Al-Ikhlas (112:1-4):
"Sema: Yeye ni Mwenyezi Mungu, ni Mmoja. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anayelingana naye."
 
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?

Surat Al-Baqara (2:132)
"Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagulieni Dini hii. Basi msife ila nanyi ni Waislamu."

Huu mstari wako ulioweka unaonesha huyo mungu aliwachagulia watoto wa hao wakina Ibrahim. Kuchagua si kuanzisha au kuleta.
Maana yake wamechagua dini moja ya kufuata baina ya nyingi zilizopo zilizoanzoshwa na watu.
 
Surat Aal-Imran (3:85):

“Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake; na huko Akhera atakuwa miongoni mwao waliopata hasara.”
 
Kama Mungu angeleta dini....sote tungekuwa na dini moja tu iliyonyooka
Sio hizi tulizopigwa na wakoloni zenye makando kando kibao
 
Allah anamswalia Mtume?
Maana ya “Allah kumswalia Mtume”:

Swala ya Allah kwa Mtume haina maana kama swala ya mja, bali inamaanisha:

Allah anamsifu Mtume mbele ya Malaika wake.

Anamkumbusha kwa rehema, daraja na heshima kubwa.

Inatafsiriwa pia kuwa ni dua ya Allah ya kumtukuza Mtume Muhammad (SAW).
WAKIRISTO WENGI JF WATUPU KICHWANI KTK MASWALA YA DINI
 
Kama Mungu angeleta dini....sote tungekuwa na dini moja tu iliyonyooka
Sio hizi tulizopigwa na wakoloni zenye makando kando kibao
Qur’an – Surat Aal-Imran (3:19):

"Hakika Dini (ya kweli) mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..."
(Inna ad-deena 'inda Allahil-Islam)

---

Qur’an – Surat Aal-Imran (3:85):

"Na atakayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, na Akhera atakuwa miongoni mwao waliopata hasara."
 
Surat Al-Ikhlas (112:1-4):
"Sema: Yeye ni Mwenyezi Mungu, ni Mmoja. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anayelingana naye."
Kwahiyo yeye anaishi wapi? Alijikuta yupo na akaanza kuumba vitu? Wewe ushawahi kumuona?
 
Back
Top Bottom