Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

Me bado hata sijaanza mahusiano na sijawahi,ila najifunza vitu vingi kama hivi ili nitakapo anza isinisumbue
hongera mkuu, ila chunga usije ukazamishwa mwili mzima kuanzia miguu hadi nywele za kichwani.....ukizama zamisha miguuu kiwili wili kibaki nje...
 
oh...asante...umenielewesha...ndio maana kuna mzee fulani kipindi nipo jakata alikuwa hapendi sana binti yake ataniwe mchumba...yani ukitaka ugomvi tena ugomvi mkubwa na huyo mzee ni kumwita binti yake wa kike mchumba...
kabisa mara nyingi huleta madhara
 
Kiukweli Mimi nlikabiriana na maumivu ya mapenzi kwa kuanza kupiga,nyeto,kuvuta bhangi kunywa Pombe na jioni kufanya mazoezi then narudi ghetto napika msoc wa nguvu huku naskiliza music kwa mbaaali then naoga nazama kitandani kushtua asubuhi hiyo nlifanya hivi kwa mwezi mmoja nkamsahau yule mwanamke na tangu hapo nimepambana Sana na maumivu ya mapenzi na nimeshinda mara zote
 
Niliumizwa kwa muda mrefu kidogo na yote ilikuwa ni kwa sababu nilikuwa nilimpenda nikimpenda ex wangu kwa dhati kabisa kwa kuwa ni mtu aliyenitoa mbali sana kwa kipindi akati niko kwenye wakati mgumu sana yeye pekee ndiye aliyenishika mkono bila kujali nini wala nini.sitaacha kuukumbuka wema wake mpka nafukiwa kaburini nasema kweli na Mungu ananiona ingawa aliniumiza mno kuliko mtu mwingine yeyote katika maisha yangu. amenipitisha kwenye maumivu makali ambayo sikuwah kutegemea kama nitakuja yapitia siku moja.jamn nikisema kumpenda mtu kwa dhati kabisa halafu anakuumiza nafikiri kwa anaejua hiyo situation anajua nini namaanisha.maana nilikuwa nae kwa miaka mingi kidogo na sikuwahi kuwa na mwanaume mwingine yeyote akati nipo nae.nilikuwa mwaminifu sana kwake kwa kuwa nilimpenda kuliko kawaida.ingawa ameniumiza lkni haki yake nampa.'amenionyesha mwanga mkubwa sana katika maisha.

Huwa sijutii kumfahamu hata kwa bahati mbaya.ingawa kabla sijafikia uamuzi wa kusema sijutii kumfahamu,nilikuwa nikimchukia kuliko mtu mwingine yeyote.unajua kwanini niliamua kuyafuta machukizo yote,nikwa sababu niliamua kukimbilia kanisan ingawa nilikuwa nikikumbana na changamoto za baadhi ya marafiki zangu kuwa niende kwa wagang wa kienyeji.kweli ilikuwa kidogo kuchanganyikiwa lkni niliamini Mungu pekee ndiye mwenye kunijua mimi na hatma yangu na kwanini nayapitia haya.na ili nizungumze na Mungu na kuyajibu maombi yangu ilikuwa ni lazima kumsamehe ingawa ilikuwa ni ngumu mnooo..lkni nilimsamehe.

Ninamshukuru sana kwa kuniumiza.*ninakushukuru sana kwa kuniumiza na kunipitisha katik yale maumivu*.wapendwa,maumivu yake yamenijenga mno!yamenifanya niwajue watu,yamenifanya nimjue Mungu kuliko nilivyokuwa nikimjua kuwa yupo katika maisha yetu anaishi ni sisi kumkaribisha tu.

Back to the point kuwa nilifanyaje kwa mwenye uzi..niliukimbilia msalaba.natumai nimekujibu.asante.
pole sana....naamini Mungu wetu ni muaminifu...atakupatia hitaji la Moyo wako, mwaka huu uwe wa mafanikio kwako...UBARIKIWE sana
 
pole sana....naamini Mungu wetu ni muaminifu...atakupatia hitaji la Moyo wako, mwaka huu uwe wa mafanikio kwako...UBARIKIWE sana

Ameeeen mkuu.Mungu wetu ni mwaminifu sana.na wew BARIKIWA sana
 
Kwa kuwa nae ni binaadamu basi amini kuwa ana mapungufu kwa kuwa inasemekana binaadamu tuna mapungufu.

Jambo la muhimu hapa ni wewe sasa kuitumia akili yako sawa sawa kukumbuka baadhi ya mapungufu yake na mabaya yake yoote.

Chukua baya lake moja lizidishe Mara kumi kisha ulipime kuona uzito wa ubaya wake na kisha ujupe jibu.

mfano kwa kitendo hiki tu cha kukuacha na kashindwa kukukumbuka kwa miaka yote mitano huyo ni msaliti na ukijaribu kumfuata anaweza kukuua kabisa

Kumbuka mabaya yake tu na usikumbuke wema wake hata kama wema ni mwingi kuliko mabaya wewe jitahidi kukumbuka mabaya tu
 
asante mkuu....je wewe ulishawahi kuumizwa...? kama ndivyo ulikabiliana vipi na hayo maumivu...?
 
nlilia sana...mpaka sasa naamini hakuna mwenye upendo wa kweli chini ya jua..naamini ndoa pia ni taasisi ya kinafki....naamini majority ya wanaume wakihitaji kuwa nawe target yao ni pale kati tu...upendo hawaujui.
now nafocus kwenye maisha yangu tu.sitaki mtu
japo sometimes nakuwa mpweke mnoo..nakosa mtu wa kuongea nae about my life.kushare nae pains nnazopitia...natamani angekuepo boyfriend closer anaenielewa hisia zangu.
naongea na Mungu tu.siku zinaenda.
 
pole sana, naamini utapita salama kwenye hicho kipindi cha mpito...MUngu wetu ni muaminifu naamini ilibidi upitie hayo maumivu ili wengine wajifunze kupitia wewe, na ili wewe ukomae kiakili...karibu kwenye ulimwengu mpya wa mapenzi...si safari moja uanzisha nyingine?
 
[QUOTE="eddy mhando, post: 20371846, member: 216806"yake nte mkuu....je wewe ulishawahi kuumizwa...? kama ndivyo ulikabiliana vipi na hayo maumivu...?[/QUOTE]
Nilimfuta kwenye kichwa changu kwa kukumbuka mabaya yake
 
[QUOTE="eddy mhando, post: 20371846, member: 216806"yake nte mkuu....je wewe ulishawahi kuumizwa...? kama ndivyo ulikabiliana vipi na hayo maumivu...?
Nilimfuta kwenye kichwa changu kwa kukumbuka mabaya yake[/QUOTE]
hongera mkuu....maana kuna wengine hushindwa kabisa kufanya maamuzi hayo....at the end hujikuta kwenye matatizo makubwa...
 
mkuu nikuambie kitu hakuna mtu anaamka asubuhi na kukupa kibuti.. kuna mazingia huonyesha kama kuleta mapozi , kutokujali dharau yani hana ashki tena na wewe unageuka kero kila saa kukutafutia unakosea wapi ukiwa fala utakuwa unaomba mshamaha tu kumbe hakutaki sasa katika hizo early stage za kibuti mi nikiziona halooo nakuweka kwenye mstari mahaba moto moto ukishatulia nakuwaka cha mbavu halafu nakuambia unavyonitafutia sababu mi sina huo muda nakupa makavu live na sepa .. na huwa siendekezi mapenzi mimi na nacho jua nimeliza wanaume wengi sana na sitapata laana sababu alijiandaa kuniacha mi nikawawahi

Hapo ndio unakuta wenzangu na mimi stress free zone. Unachemka. Hata nikupende vipi. No stress ukisepa
 
mkuu bado nina maswali, sasa kilichomsababisha akatae ni nini? au kulikuwa na mweingine anammega kisela?
Lugha fupi nitumie niseme bado kijana anakula maisha.
mkuu bado nina maswali, sasa kilichomsababisha akatae ni nini? au kulikuwa na mweingine anammega kisela?
Huyu demu alikuwa kicheche tokea mwanzo, mimi pia nilikuwa nachepuka sana pia. Kwahio tabia zetu tulikuwa tunajua lakini baadae ndio nikaona nishatembea na wengi lakini wote hawakuugusa moyo wangu. Ikatokea bahati alikuja kutembea uswahilini yeye anaishi US, nikammega tena.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom