Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,948
...umepotelea wapi? Umesababisha hata binti yangu agome kuwasiliana nami. Nahisi anadhani nimemtafutia mama hewa. Michelle, uko wapi mpenzi?
...umepotelea wapi? Umesababisha hata binti yangu agome kuwasiliana nami. Nahisi anadhani nimemtafutia mama hewa. Michelle, uko wapi mpenzi?

Ilikuwaje mkuu? Mbona umetuacha njia panda.

Naona wewe ni kwa Maneno sio kwa Vitendo...

Wenzio wa Vitendo wametulia na wanawasiliana...lol

Michelle sikia kilio cha mtu mzima

Kaazi kweli kweli!!

Hata salamu sitoi...NIMEGOMA!
UKIGOMA NAKUSALAMIA MIMI: SHKAMOO ANT LIZZY

umeachwa solemba, we ulie tu.