Uliekubali kuwa mama wa binti yangu..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...umepotelea wapi? Umesababisha hata binti yangu agome kuwasiliana nami. Nahisi anadhani nimemtafutia mama hewa. Michelle, uko wapi mpenzi?
 
Naona wewe ni kwa Maneno sio kwa Vitendo...
Wenzio wa Vitendo wametulia na wanawasiliana...lol
 
Uko wapi nikufate, niambie nipajue, angalau nikuone roho yangu itulie! Moyo wangu unaniuma kwani kimya kimetanda, ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo, ningekufata huko nikujulie hali, niachane na mawazo yakukuwaza wewe.....! Lol......maneno ya Ray C hayo. Pole mkuu.
 
Ukiona mtu mzima, maaamaaa. analia mbele za watu ujue kuna jambo....
 
Huku jf kuna watu wameanza kuwehuka. Wanatuma topic hazina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom