Uliekubali kuwa mama wa binti yangu..

Uliekubali kuwa mama wa binti yangu..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
...umepotelea wapi? Umesababisha hata binti yangu agome kuwasiliana nami. Nahisi anadhani nimemtafutia mama hewa. Michelle, uko wapi mpenzi?
 
Ilikuwaje mkuu? Mbona umetuacha njia panda.
 
Naona wewe ni kwa Maneno sio kwa Vitendo...
Wenzio wa Vitendo wametulia na wanawasiliana...lol
 
pole sana mkuu.................mapenzi ya kwenye keyboard yalikunogea,huh
 
Uko wapi nikufate, niambie nipajue, angalau nikuone roho yangu itulie! Moyo wangu unaniuma kwani kimya kimetanda, ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo, ningekufata huko nikujulie hali, niachane na mawazo yakukuwaza wewe.....! Lol......maneno ya Ray C hayo. Pole mkuu.
 
Ukiona mtu mzima, maaamaaa. analia mbele za watu ujue kuna jambo....
 
Huku jf kuna watu wameanza kuwehuka. Wanatuma topic hazina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom