Hapa nilipo tu uharo unanijaa kila mara miashara ya mazao nimelaza mill 40....bei badala ya kupanda zimeshuka.....
Na nikiulizakila sehemu mvua zinanyeesha vizuri it means mazao yakikfika level tu bei inashuka tena uhakika wa mavuno
Nikiingia store nasikia vidudu vimeanza kwenye magunia .....nabamiza mlango hasira naenda kwenye K vant
Ukicheki hii ni loss najiulizaga si bora ningejenga fremu tu

Biashara ya pili ninayomiliki kosta nikiona tu simu za dereva missed call sipokei nazma cm kila siku gari loss,imeharibika,imeshikwa ipo polisi
Suruali zangu zote hazintoshi zinavuka..hadi kichwa kimepungua kapero nikipanda boda upepo kidogo inaondoka na upepo....


Aisee stress za biashara ....ndoa ikasome
Nikipita mtaani nikiona watoto wanacheza wanafuraha naona km wananipigia kelele
Hakuna kitu kibaya km kuona unafilisika gradually ni km unakufa uku unatembea