TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
- Thread starter
- #201
Yaani.. mimi kuna kijana nilimuachia biashara hapo nimeshamfundisha kila kitu. Baadae nashangaa mambo yanaenda mrama, kumbe yeye vitu anavyowaeleza wateja ni tofauti kabisa na jinsi mimi nilivyomuelekeza šKwa Hii Tanzania sidhani kma yupo.
