Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nimeshangaa
Imebidi tu nicheke

Heri hata angesema nchi 40 ndio hiyo 450
Mkuu me nimetoka kununua Hisense last month tu, hiyo inch 40 yenyewe ambayo sio Smart nilikuta inacheza kwenye 480-500K Kwa wauzaji wa kawaida ila ukienda kwa Hisense dealer bei ni 600k alafu ata hawakuangalii usoni
 
Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua 😂😂

Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
 
Hisense dealer wana maringoo balaaa
Kwanza hawakumbelezi
Ile kusema una sh ngapi. Nawajua

Mkoa nilipo nchi 32 LED 380-420
40 sijui
43 smart 750
Wale ni shida mkuu, ila wana utaratibu mzuri sana, maana wao wanawauzia wengine kwa bei rahisi sana ila wao wanauza Kwa bei kubwa ili wateja waende huko kwenye bei ndogo wao wanabaki kama Showroom tu au kuwauzia wadosi
 
Back
Top Bottom