cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Aririiiiiiiii meza ya jiko km yanguuuu, had rangi.Baada ya uzi huu kunihamasisha hatimae na mimi nimehama home na hapa nimeandaa kitu cha chapati mayaiView attachment 2436940View attachment 2436939
4 real. Rangi tamuuu hiyooo.Ni 170k.Laki 2
Ila Dar inaweza kuwa chini ya hapo
AnimationsHicho kwenye runinga ni nini?
Mimi nilichukua 160kHongera aisee.
Hiyo meza ya gesi imekaa unyama sana, bei gani?
JamaniAririiiiiiiii meza ya jiko km yanguuuu, had rangi.
4 real. Rangi tamuuu hiyooo.![]()
Weee😱😱Aririiiiiiiii meza ya jiko km yanguuuu, had rangi.
4 real. Rangi tamuuu hiyooo.
KheeeeeeeNina mzigo wa kutosha hapa dah sijui ndo uoga wa maisha😃😀View attachment 2436995
Safi uturi wa maana mwanamke kunukia bwanaGhetto kitengo cha dressing table View attachment 2436996






khaaaaah.Kila siku harufu mpyaa dyadyaaa??Ghetto kitengo cha dressing table View attachment 2436996






Hahahaha unahisi tutapigwa lockdown ya kushtukiza nn mkuu...sema i like ur kitchen kila kitu muhimu kipo
Mi mwenyewe nilienjoy Sana maisha ya saut nakumbuka Hadi hostel niliyokuwa nakaa inaitwa ParadiseSema unatoka mbeya na ulikua unasoma SAUT na ulikua unaishi Kati ya Nyamalango,sweya,masha au nganza
Katika vyuo wanafunzi wana enjoy maisha basi ni wanafunzi wa SAUT mbali na tabu za masomo mengi chuoni ila nje ya chuo maisha ni matam SAUT aisee na yanakuruhusu kujijenga kimaisha



Unapenda kupika eeeh, ni vizuri.
HongeraGhetto kitengo cha dressing table View attachment 2436996


Apo uhifadhi vizuri maana ukiuweka ovyo utagandiana na kutengeneza vijidudu ambapo mpaka upike tena inabid uweke kwenye jua. Nakumbuka bimkubwa alikuwa anatia kwenye ndoo na anaweka kipande cha mkaa.

Pamoja mkuuApo uhifadhi vizuri maana ukiuweka ovyo utagandiana na kutengeneza vijidudu ambapo mpaka upike tena inabid uweke kwenye jua. Nakumbuka bimkubwa alikuwa anatia kwenye ndoo na anaweka kipande cha mkaa.
Btw hongera sana ghetto limecool mazaga yote ya maana unayo including Animation movies![]()