Ulianzaje kujenga?

24mil na nyumba haijaisha! Vijana tutajenga kweli na kipato Cha chini ya 500k!!!
 
Kwa sababu kipindi kile nilikuwa ughaibuni, karibu nyumba zangu zote na mashamba yangu yote yalisimamiwa na shangazi yetu. Hivyo, kilichofanyika ilikuwa ni kutuma fedha, kukagua ramani, maendeleo na kupokea picha za maendeleo.
 
Hii nyumba Ni ya vyumba viwili kimoja sebule, kingine chumba Cha kulala master
Unaweza kugharimu kiasi gani wajuzi???
 
Kwakweli kujenga naweza kusema ni mipango tu ya Mungu lakini ukiwa umeweka nia thabiti...
Muda unapotimia bila nguvu wala kashkash unajikuta kiwanja hicho... Unaweza kukaa muda mfupi au mrefu kidogo mara umepata pesa ya tofali, mara hiki mara kile.. Mpaka unamaliza ujenzi
Cha ajabu na cha kushangaza, ukimaliza tu ujenzi naweza kusema kwa asilimia 80 hivi pesa inakata na kupitia kipindi kigumu sana lakini uko kwako
NB: Hii haiwatokei watu wote lakini kwa asilimia kubwa huwa hivyo..
 
Mshana utakula makofi sasa

Watu tunataka utuelezzee nyumba yako au bado hujajeng?
 
Uzi mzuri
 

Hongera sana
 
Nunua kiwanja kwanza
Plan kujenga kwa awamu (msingi,kupandisha course,lenta,kuezeka,grill/milango,finishing)
 
Uko sahihi kabisa. Mungu hakupi kila kitu na akakuacha urelax. He's nilliyopata Ni nyinghi Sana na tangu nimalize ujenzi Ni mwaka wa 3 huu sijapata hata robo yake
 
Uko sahihi kabisa. Mungu hakupi kila kitu na akakuacha urelax. He's nilliyopata Ni nyinghi Sana na tangu nimalize ujenzi Ni mwaka wa 3 huu sijapata hata robo yake
Zile pesa huja na malengo ukifeli kuzitumia ipasavyo UMEKWISHA
 
Uzi mzuri Sana huu kwa sisi wengine tunaoendelea kujipanga kujenga Mana tunatiwa hamasa na kuuona ujenzi Kama kitu kinachowezekana inapokuwepo Nia ya dhati. Hongereni wachangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…