Ule upendo wa kweli bado upo?

Ule upendo wa kweli bado upo?

Na upande wa wadada unadhani tutasemaje??
Mwanamke Hana haki ya kumpima mwanaume?
Tukioimana matokeo yakitoka huko chanya huku hasi itakuwaje
Yale Yale kupoteza muda
Same story, kisaikolojia haiwezekanmtu kua act zaidi ya miezi minne, utaanza kuona uhalisia , maana ila honey moon phase itakuwa imeisha. Sasa utauona uhalisia wa mtu
 
Same story, kisaikolojia haiwezekanmtu kua act zaidi ya miezi minne, utaanza kuona uhalisia , maana ila honey moon phase itakuwa imeisha. Sasa utauona uhalisia wa mtu
Okay..nimeelewa
Ila moyo wa mtu ni kichaka
Kuna wanaokaa kwenye uchumba miaka hata mitatu ila akiingia kwenye ndoa miezi miwili tu anaanza kugeuka
Hayatabiriki
 
Upo, ni vile labda hujabatika kumpata.

Tatizo lililopo ni kutoaminiana. Uongo mwingi sio Ke wala Me.

Na dunia ya sasa tunaishi kama wanyama, mwenye nguvu anaishi. Kila mtu anajaribu kuzipata hizo nguvu.

Kama huna maslahi kiuchumi kwa dunia ya sasa wewe ni liability wa leo wa kesho hivyo utaogopwa, utatumiwa na kuachwa. Kwenye kutumiwa ukiwa mjanja basi utaambulia. Ukiwa fala utajuta.
 
Jipime wewe mwenyewe je unaweza kumpenda mtu kwa nyakati zote bila kumtelekeza ?

Mimi najua Upendo upo 📌

Wanaosema upendo hamna ni kwa sababu wao wenyewe hawana upendo kwa wengine

Kwahiyo huangalia ubinafsi wao na kuujumlisha kwa wote !
Umesema vile ninavyojua mimi, kwa kuongezea tu.....
Upendo wa kweli huanza na kujipenda kwa dhati wewe mwenyewe.
Mtu asiyethamini nafsi yake mara nyingi huwa anatafuta upendo wa kujaza pengo ndani yake. Lakini anayejipenda kwa afya ana uwezo wa kupenda bila kujipoteza, kuheshimu mipaka, kusamehe pale inapowezekana na kubaki mwaminifu bila kulazimisha.

mleta mada anauliza hivi kwa sababu huenda anaona kuna watu wameumizwa, wamekatishwa tamaa au anaangalia dhana ya upendo kupitia majeraha ya watu wengine. Lakini majeraha ya mtu mmoja hayaifuti uwepo wa upendo duniani.
 
We unao huo upendo?
 
Back
Top Bottom