Tupia kapicha tuoneHakika haupo
Pamoja na uhamdsome wangu, ninaishia kula za uso tu. Haya maisha ni kheri kuwa single tu
Tupia kapicha tuoneHakika haupo
Pamoja na uhamdsome wangu, ninaishia kula za uso tu. Haya maisha ni kheri kuwa single tu
Sisi mahandsome wanatuchukulia kama players tu.. As for me, am a hopeless romanticPole handsome🤣
Nkajua sie akina mwajuma ndalandefu tu
We jinsia gani kwanza tuanzie hapo? Huwezi kuwa dume alaf unaongea vitu vya ajabu hapaTupia kapicha tuone
😊😊😊Kuna mmoja jana anauliza huko FB, je inawezekana kwamba watu wameoana kwa ndoa lakini hawaishi pamoja? Ndio tumefika huko. Ndoa ni title tu, isemekane na yeye aliolewa lakini hawaishi pamoja.
Upo umejaa teleee.Ila ni nadra sana kumuona na kupata?
Pole.Sisi mahandsome wanatuchukulia kama players tu.. As for me, am a hopeless romantic
🤣🤣🤣 si kama ninavyokupenda wewe!Acha kudanganya!
Kiume. Ni ajabu kusema weka kapicha tuone uhandsome wako😁!We jinsia gani kwanza tuanzie hapo? Huwezi kuwa dume alaf unaongea vitu vya ajabu hapa
Namna ya kujua toka Kwa mtu sasaUpo lakini it so real , and dunia ya sasa inayojaribu kuhalalisha mambo yasiyo ya upendo ndio kabisa
🤣🤣🤣 anazeeka vibaya huyo mzee.
Sasa kama kumpata tu umeshindwa, kuishi nae pamoja na kumtunza utawezaje 😅Hakika haupo
Pamoja na uhamdsome wangu, ninaishia kula za uso tu. Haya maisha ni kheri kuwa single tu
Kabisa mkuu. Binadamu ambaye sio mzazi wako hawezi kukupenda kwa kila hali hadi mwisho wa dahari. Never!Huamini kwamba mtu anaweza kupa kama huo?
Na huwa najiuliza kumpa mtu upendo kama huo nae mwisho wa siku anakupa maumivu kwakweli ni hasara.
Ndio utamaduni wangu huoWe huyawezi mkuu?
Ni kweliInasikitisha sana saizi ukiwa na uo upendo unaonekana kero kwenye macho ya nyama
Muda muda muda, muda huchuja character zote za mtu na kumuacha na tabia halisiaNamna ya kujua toka Kwa mtu sasa
Huo ndio upendo sasaIt's complicated . Ila mimi, mtu tofauti na wazazi au ndugu zangu akiniambia amenipenda tu huwa nastuka kwanza, huwa siamini, namuuliza tena nihakikishe kama nilichokiskia ndicho au vipi. Yaani eti unanipenda tu sijakupa chochote na unanipenda tuuuuu!!, hii aina ya upendo siitaki kwakweli, sitaki kupendwa kimasihara
Ngoja niwe muhuni tu na kujipenda mwenyeweSalaam zenyewe za shida itakuwa upendo.
Hapo ndio utajua maisha yamebadilika sana
Wengine tunahofia kupoteza mudaMuda muda muda, muda huchuja character zote za mtu na kumuacha na tabia halisia